Zanzibar one kuna 25K, 40K, 50K, 300K silver, gold na nyenginezo class
Azam marine kuna 25K, 35K, 50K, 60K
Class tofaut tofaut economy class, economy premium, business class, VIP class, Royal class and Private cabin
Sent using Jamii Forums mobile app
Wale jamaa wa nje hasa kwa Zanzibar hiyo ni kawaida yao kw wagen na wenyej n ckuiz ndo wamezid kwa kua boat mbili kuhusu ticket hiyo ilokutokea cwez kubisha mana cjui situation gan ilikutokea cku hiyo ila sometimes unakuta watu wamerudsha ticket wengne wanacmama nje wengne wanakaa mbele na wengne wanakata economy ila jamaa zao wanawaingza VIP na royal kwaio seat zinaweza kua tupu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wale watu wanakuwa na tickets zaidi hata ya 30, siyo za kurudisha zile bro. Ni dili ambalo linahusisha hadi wafanyakazi wa ndani.
Nilifanya inquiry nikaja kuambiwa kuna mgao na idadi ya zinazouzwa kwa kurusha inajulikana, maana baadae wanakaa wanapiga mahesabu yao.
Mpaka wale jamaa wa getini wanahusika, maana kuna jinsi ambavyo unaikunja pembeni wakiona hivyo unapita bila kukaguliwa pale mlangoni.
wewe unafikiri ni safari za Gongo la mboto au ManerumangoUjaribu kujitosa baharini ili wakuokoe?
soma post # 34 ya Mdau PEKU LA UNGOUnamaanisha ujirushe majini au nimesoma vibaya?
pia Azam wapo faster kwenye kumonitor abiria wanaojirusha wanawaokoa haraka na hata ambao si abiria wakiona mtu amezama bac anasaidiwa ( cjajua kwa Zanzibar one ni vp nimepanda one time tu)
Wamewahi kunigomea na wakasema ukikata hivo inatakiwa uwahi lisaa moja kabla.Nikamwambia lakin ticket mbona zipo tatizo liko wap?Blah blah zikawa nyingi,Sikutaka vurugu nikakata royal sema kulikua na jamaa dirisha la pili ananiangalia sana.Wakati natoka akatuma security aniite.Akajitambulisha akauliza shida nini?Nikamwelezea kwa ufasaha.Pia nikaelezea ubovu wa customer care zao.Tulizungumza kwa kina pia nikashauri waweke huduma tuweze kulipia kwa mtandaoni.Mm cjawah kupata ticket mtandaon na dirishan nikakosa ukiona haipo mtandaon bac dirishan haipo na hupew mana system haisomi cha kufnya ukiona mtandaon ipo unaikata then unawapa booking number na password mbona wanakupa ticket yako ukiwalipa shida ni watu hawajui taratbu za biahsara za watu
Sent using Jamii Forums mobile app
All in all Zanzibar one wana customer care nzuri sana.Sijui kama ni mwanzo tu ama lah!Kilimanjaro 4 na 7 zote ni jet engines, sawasawa na hizo za Zanzibar 1.
Tatizo Kilimanjaro 4 inachukua abiria wengi, mizigo na ina engines 4 inakula mafuta sana. Ndio maana imewekwa route za kupambana na Zanzibar 1.
Kilimanjaro 7 yenyewe kwanza engine yake ndio kwanza imeanza kutumika kwenye hiyo boat. Inatembea hatari.
Kinachonisikitisha Kaptein Mgalula niliyemheshimu sana tokea akiwa Azam Marine ndio anafanya huu ushabiki usio na maana. Jumamosi tumeondoka saa sita na nusu Unguja, Zanzibar 1 alitangulia kuondoka akaenda mbele kidogo akasimama, tukapita tukiwa kwenye Kilimanjaro 4, alitufukuzia amekuja kutupita karibia na maboya. Akifika anaweka mbwembwe na kuigeuza kabisa ili ipaki ikiwa ipo tayari kuondoka. Kwenye huo msukosuko anapoteza muda kiasi kwamba abiria wa Kilimanjaro wanashuka mwanzo au wanashuka pamoja.
Vile vile zile Zanzibar 1 wanazioumzisha routes, hawazifanyii kama Kilimanjaro ambapo boat inapiga safari tatu siku nzima non stop.
Wataleta kitu ambacho speed yake haitakua na mfano. Napenda pawe na watoa huduma zaidi ila kushindana na Azam inabidi ujipange.
Kwa wasafiri wa zanzibar DaresSalaam watafahamu adha tuliyokuwa tukiipata kwaajili ya wafanyakazi wa Azam marine
Ukichelewa kidogo tu mfano boat inayoondoka saa sita wewe umeenda kukata unaambiwa imejaa hata kama haijajaa alafu unakutana na vishoka nje wanakupa ticket ya 25000 kwa 40000 na wale wahudumu wanakuambia nenda hapo nje utapata ya kuondoka saa hii.
Kwa ufupi wamewanyanyasa sana abiria.
Mimi naomba ishuke hadi alfu 10 hadi 15.
Safari ya 1:30 ni 25000 bado kubwa sana aisee.
Mimi niksafiri na wife naweza laki pembeni ya nauli aisee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye maji ama lami..?? Na ndege je maana nasikia ni robo saa tu Dar to Zenjisafari ya saa 1:30 ni sawa na Dar to Chalinze ilitakiwa nauli yake isizidi elfu 10.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujajibu swali bado can you please answer it?wewe unafikiri ni safari za Gongo la mboto au Manerumango
nawashangaa mnaoniuliza wanaookolewa ktk Azam Marine badala hata ya kuingia You Tube mnanihoji
nimesema msiijaribu Boat msiyoijua huduma zake unaweza kukuta wamevaa tai na Boti ikaleta hitilafu wasiwaokoe sipo tukio zaidi ya 7 za uokozi katk Azam Marine
ajirusha baharini toka azam marine - YouTube
View attachment 1419124
soma post # 34 ya Mdau PEKU LA UNGO
Muwe mnapanda Fly horse elf 18 tu
Biashara yoyote ikikosa upinzani ni rahisi kubweteka.
Ni dk 15-30 na nauli yake ni 50K kwa PrecisionKwenye maji ama lami..?? Na ndege je maana nasikia ni robo saa tu Dar to Zenji
Sent using Jamii Forums mobile app
hapa hatuna kiranja, au OCD au TISS wa kuhoji wachangiaji bali mleta Mada ndio nitamjibuHujajibu swali bado can you please answer it?
Safari za kwenda Zanzibar kwa boat nikikwambia ni umasikini utanishangaa sana, hatukuulizi kwa bahati mbaya comment yako ndio imefanya tukuulize.
Kabisa, tena kama unaonyesha wasiwasi Jamaa au Mwanamama anakusindikiza alafu unapita getini kiulaini.Wale watu wanakuwa na tickets zaidi hata ya 30, siyo za kurudisha zile bro. Ni dili ambalo linahusisha hadi wafanyakazi wa ndani.
Nilifanya inquiry nikaja kuambiwa kuna mgao na idadi ya zinazouzwa kwa kurusha inajulikana, maana baadae wanakaa wanapiga mahesabu yao.
Mpaka wale jamaa wa getini wanahusika, maana kuna jinsi ambavyo unaikunja pembeni wakiona hivyo unapita bila kukaguliwa pale mlangoni.
zamani kabla ya Azam express boat Meli zilikuwa zinaondoka Dar usiku saa 2 halafu zinalaal majini nje kidogo ya Dar halafu km saa 6 usiku zinaendelea na kufika zanzibar saa 2 asubuhikwa hiyo jumla kuna kampuni ngapi za kusafirisha Dar to Zanzibar?Na kama kuna kampuni nyingi kwa nini watu walikuwa wanang'an'gania kupanda Azam marine?
Ujuaji mwingi ni upumbavu.swali la kitoto sana au muelekeo wa kumtafuta mwanamume kiaina
hapa hatuna kiranja, au OCD au TISS wa kuhoji wachangiaji bali mleta Mada ndio nitamjibu
Unaandika vitu vingi halafu hata havieleweki.page nzima nimekuwekea na link kazisome ujue kwanini wanajitosa baharini
mm naogelea mpaka Zanzibar sijitosi maji hayanitishi sio mafuriko hayo mnayoyaogopa
Nilipo bold hapo umepaona? Kwa maneno hayo tuache kukuuliza and you keep saying eti "maji hayanitishi sio mafuriko mnayoyaogopa"usishindane na Azam Marine wako poa na wanajiamini
nimeshuhudia matukio mawili ya abiria kujirusha majini lk wale vijana wa Azam ni wepesi kutoa huduma za uokoaji
natafuta siku na mm nije nijaribu hiyo huduma yao