Azam Marine mambo shingoni. Zanzibar one na two mambo byeeee

Azam Marine mambo shingoni. Zanzibar one na two mambo byeeee

Wale jamaa wa nje hasa kwa Zanzibar hiyo ni kawaida yao kw wagen na wenyej n ckuiz ndo wamezid kwa kua boat mbili kuhusu ticket hiyo ilokutokea cwez kubisha mana cjui situation gan ilikutokea cku hiyo ila sometimes unakuta watu wamerudsha ticket wengne wanacmama nje wengne wanakaa mbele na wengne wanakata economy ila jamaa zao wanawaingza VIP na royal kwaio seat zinaweza kua tupu

Sent using Jamii Forums mobile app

Wale watu wanakuwa na tickets zaidi hata ya 30, siyo za kurudisha zile bro. Ni dili ambalo linahusisha hadi wafanyakazi wa ndani.

Nilifanya inquiry nikaja kuambiwa kuna mgao na idadi ya zinazouzwa kwa kurusha inajulikana, maana baadae wanakaa wanapiga mahesabu yao.

Mpaka wale jamaa wa getini wanahusika, maana kuna jinsi ambavyo unaikunja pembeni wakiona hivyo unapita bila kukaguliwa pale mlangoni.
 
Muwe mnapanda Fly horse elf 18 tu
...
IMG_20200404_165737.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wale watu wanakuwa na tickets zaidi hata ya 30, siyo za kurudisha zile bro. Ni dili ambalo linahusisha hadi wafanyakazi wa ndani.

Nilifanya inquiry nikaja kuambiwa kuna mgao na idadi ya zinazouzwa kwa kurusha inajulikana, maana baadae wanakaa wanapiga mahesabu yao.

Mpaka wale jamaa wa getini wanahusika, maana kuna jinsi ambavyo unaikunja pembeni wakiona hivyo unapita bila kukaguliwa pale mlangoni.

Ndio ni kweli ticket zinakuepo za namna hiyo na huezi kupita nayo hadi uwe na wenyej ndio mana yule anaekuuzia anapita ndan naww mpaka ufkie sehem ambayo hutokaguliwa tena ila hilo ni tatizo la wafanyakaz waloekwa kwa ajili ya kukatisha ticket uongoz cjajua unahucka kwa namna gani ila nnalomin popote ngozi nyeuc inapokaa lazma itafnya kasumba yyte na uhujumu wa fedha ila kwa nnavockia wenyew wakubwa wakubwa sio watu wa kudharau jambo lolote mfno idea ya bendera za mataifa pale Zanzibar zilkua zile za kuchomeka ni mtu baki tu alomshaur bahresa achore bendera kwenye zile nguzo itakua rahisi kuonekana kw wagen ajue wapi anacmamia kujaza form na alifnya hivyo sasa mattzo kama hayo ya ticket na seat ni muhim uongoz kujua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mbona wasianzishe safari za Dar-Tanga-Mombasa? Zanzibar-Mombasa? Pemba-Mombasa?
 
Ujaribu kujitosa baharini ili wakuokoe?
wewe unafikiri ni safari za Gongo la mboto au Manerumango
nawashangaa mnaoniuliza wanaookolewa ktk Azam Marine badala hata ya kuingia You Tube mnanihoji
nimesema msiijaribu Boat msiyoijua huduma zake unaweza kukuta wamevaa tai na Boti ikaleta hitilafu wasiwaokoe sipo tukio zaidi ya 7 za uokozi katk Azam Marine
ajirusha baharini toka azam marine - YouTube
1586880911620.png

Unamaanisha ujirushe majini au nimesoma vibaya?
soma post # 34 ya Mdau PEKU LA UNGO
pia Azam wapo faster kwenye kumonitor abiria wanaojirusha wanawaokoa haraka na hata ambao si abiria wakiona mtu amezama bac anasaidiwa ( cjajua kwa Zanzibar one ni vp nimepanda one time tu)
 
Mm cjawah kupata ticket mtandaon na dirishan nikakosa ukiona haipo mtandaon bac dirishan haipo na hupew mana system haisomi cha kufnya ukiona mtandaon ipo unaikata then unawapa booking number na password mbona wanakupa ticket yako ukiwalipa shida ni watu hawajui taratbu za biahsara za watu

Sent using Jamii Forums mobile app
Wamewahi kunigomea na wakasema ukikata hivo inatakiwa uwahi lisaa moja kabla.Nikamwambia lakin ticket mbona zipo tatizo liko wap?Blah blah zikawa nyingi,Sikutaka vurugu nikakata royal sema kulikua na jamaa dirisha la pili ananiangalia sana.Wakati natoka akatuma security aniite.Akajitambulisha akauliza shida nini?Nikamwelezea kwa ufasaha.Pia nikaelezea ubovu wa customer care zao.Tulizungumza kwa kina pia nikashauri waweke huduma tuweze kulipia kwa mtandaoni.
Alinielewa sana pia alifanya favor flani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kilimanjaro 4 na 7 zote ni jet engines, sawasawa na hizo za Zanzibar 1.

Tatizo Kilimanjaro 4 inachukua abiria wengi, mizigo na ina engines 4 inakula mafuta sana. Ndio maana imewekwa route za kupambana na Zanzibar 1.

Kilimanjaro 7 yenyewe kwanza engine yake ndio kwanza imeanza kutumika kwenye hiyo boat. Inatembea hatari.

Kinachonisikitisha Kaptein Mgalula niliyemheshimu sana tokea akiwa Azam Marine ndio anafanya huu ushabiki usio na maana. Jumamosi tumeondoka saa sita na nusu Unguja, Zanzibar 1 alitangulia kuondoka akaenda mbele kidogo akasimama, tukapita tukiwa kwenye Kilimanjaro 4, alitufukuzia amekuja kutupita karibia na maboya. Akifika anaweka mbwembwe na kuigeuza kabisa ili ipaki ikiwa ipo tayari kuondoka. Kwenye huo msukosuko anapoteza muda kiasi kwamba abiria wa Kilimanjaro wanashuka mwanzo au wanashuka pamoja.

Vile vile zile Zanzibar 1 wanazioumzisha routes, hawazifanyii kama Kilimanjaro ambapo boat inapiga safari tatu siku nzima non stop.

Wataleta kitu ambacho speed yake haitakua na mfano. Napenda pawe na watoa huduma zaidi ila kushindana na Azam inabidi ujipange.
All in all Zanzibar one wana customer care nzuri sana.Sijui kama ni mwanzo tu ama lah!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hii kitu niliisikia sana ipo.
pia kuna kitu kingine kuna rafiki yangu mmoja anayesafiri mara kwa mara zanzibar,huwa mara nyingine akienda anaambiwa tiketi za kawaida zimeisha na kulazimishwa anunue za VIP kwa elfu 60 na kwa vile anakuwa anaenda kikazi na ana haraka inabidi alipie tu hata kama hakujiandaa kwa hiyo gharama.
Kwa wasafiri wa zanzibar DaresSalaam watafahamu adha tuliyokuwa tukiipata kwaajili ya wafanyakazi wa Azam marine
Ukichelewa kidogo tu mfano boat inayoondoka saa sita wewe umeenda kukata unaambiwa imejaa hata kama haijajaa alafu unakutana na vishoka nje wanakupa ticket ya 25000 kwa 40000 na wale wahudumu wanakuambia nenda hapo nje utapata ya kuondoka saa hii.

Kwa ufupi wamewanyanyasa sana abiria.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wewe unafikiri ni safari za Gongo la mboto au Manerumango
nawashangaa mnaoniuliza wanaookolewa ktk Azam Marine badala hata ya kuingia You Tube mnanihoji
nimesema msiijaribu Boat msiyoijua huduma zake unaweza kukuta wamevaa tai na Boti ikaleta hitilafu wasiwaokoe sipo tukio zaidi ya 7 za uokozi katk Azam Marine
ajirusha baharini toka azam marine - YouTube
View attachment 1419124

soma post # 34 ya Mdau PEKU LA UNGO

Hujajibu swali bado can you please answer it?
Safari za kwenda Zanzibar kwa boat nikikwambia ni umasikini utanishangaa sana, hatukuulizi kwa bahati mbaya comment yako ndio imefanya tukuulize.
 
Tatizo la Azam ni akiona hana mpinzani anafanya ujinga

Sent using Jamii Forums mobile app
Biashara yoyote ikikosa upinzani ni rahisi kubweteka.

Hata unavyoona ushindani wa kampunzi za mitandao ya simu ni sababu ya ushindani....ingekuwa kuna kampuni moja tu kuna siku mngekaa bila mawasiliano.
 
Hujajibu swali bado can you please answer it?
Safari za kwenda Zanzibar kwa boat nikikwambia ni umasikini utanishangaa sana, hatukuulizi kwa bahati mbaya comment yako ndio imefanya tukuulize.
hapa hatuna kiranja, au OCD au TISS wa kuhoji wachangiaji bali mleta Mada ndio nitamjibu
page nzima nimekuwekea na link kazisome ujue kwanini wanajitosa baharini
mm naogelea mpaka Zanzibar sijitosi maji hayanitishi sio mafuriko hayo mnayoyaogopa
 
Wale watu wanakuwa na tickets zaidi hata ya 30, siyo za kurudisha zile bro. Ni dili ambalo linahusisha hadi wafanyakazi wa ndani.

Nilifanya inquiry nikaja kuambiwa kuna mgao na idadi ya zinazouzwa kwa kurusha inajulikana, maana baadae wanakaa wanapiga mahesabu yao.

Mpaka wale jamaa wa getini wanahusika, maana kuna jinsi ambavyo unaikunja pembeni wakiona hivyo unapita bila kukaguliwa pale mlangoni.
Kabisa, tena kama unaonyesha wasiwasi Jamaa au Mwanamama anakusindikiza alafu unapita getini kiulaini.

Ila hii michezo nimekutana nayo kutoka Zenji kuja Dar, kutokea Dar sijakutana nayo.
 
kwa hiyo jumla kuna kampuni ngapi za kusafirisha Dar to Zanzibar?Na kama kuna kampuni nyingi kwa nini watu walikuwa wanang'an'gania kupanda Azam marine?
zamani kabla ya Azam express boat Meli zilikuwa zinaondoka Dar usiku saa 2 halafu zinalaal majini nje kidogo ya Dar halafu km saa 6 usiku zinaendelea na kufika zanzibar saa 2 asubuhi
na mpaka leo Meli hizo zipo zitafute tu utaziona ila boat zipo pia tafauti huduma na kujali abiria km nilivyoeleza hapo mwanza wale wenye frustration wanaoamua kujitosa huwa wanaokolewa mara moja na hawakubali abiria kusogelea nguzo za kingo za kwenye boat unaweza kuteleza hasa ukiwa balcon/ kibarazani kupunga upepo au uoni wa mandhari
 
swali la kitoto sana au muelekeo wa kumtafuta mwanamume kiaina
hapa hatuna kiranja, au OCD au TISS wa kuhoji wachangiaji bali mleta Mada ndio nitamjibu
Ujuaji mwingi ni upumbavu.

page nzima nimekuwekea na link kazisome ujue kwanini wanajitosa baharini

mm naogelea mpaka Zanzibar sijitosi maji hayanitishi sio mafuriko hayo mnayoyaogopa
Unaandika vitu vingi halafu hata havieleweki.

usishindane na Azam Marine wako poa na wanajiamini
nimeshuhudia matukio mawili ya abiria kujirusha majini lk wale vijana wa Azam ni wepesi kutoa huduma za uokoaji
natafuta siku na mm nije nijaribu hiyo huduma yao

2368159_1586857958102.png
Nilipo bold hapo umepaona? Kwa maneno hayo tuache kukuuliza and you keep saying eti "maji hayanitishi sio mafuriko mnayoyaogopa"
 
Back
Top Bottom