All in all Zanzibar one wana customer care nzuri sana.Sijui kama ni mwanzo tu ama lah!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukweli ni upiMkuu sio kweli , mm nimesafiri sana zenji hizo habari nazisikia Leo kwako.
Hilo siwezi kulikataa mkuu. Na zile boat zao mchina kama kawaida yake alivyovuruga mabasi ya Scania kwa kuleta Youtong, ile boat mayai hatari.
Wakiendelea hivyo hivyo itakua jambo lakheri.
Nasikia Azam sasa hivi hali mbaya. Economy ni 20,000 badala ya 25,000.
Kuna chombo kinaitwa Zanzibar One hii ni noma inakimbia hatari, one hour Zanzibar to Dar es Salaam halafu chombo kimetulia sana.
View attachment 1418732
lafu mbaya zaidi Zanzibar One inamtanguliza atangulie kuondoka lakini inapitwa njiani.
Naunga mkono hoja...kuingiza gari la maembe pale kiwandani kama hauna dalali ni sawa na kuona pepo. Huyu mzee Bakharesa ni muumini safi sana je uonevu huu na dhuluma hii haioni.Wala hakuna dili na wahuni, Co. Inajua kila kitu na imebariki jambo hilo(inafaidika nao).
Hata kule kwny kiwanda chao cha juice ukipeleka maembe yako kwny roli na humjui dalali yataozea hapo nje ya geti ukiyaona hivi hivi.
Wamewahi kunigomea na wakasema ukikata hivo inatakiwa uwahi lisaa moja kabla.Nikamwambia lakin ticket mbona zipo tatizo liko wap?Blah blah zikawa nyingi,Sikutaka vurugu nikakata royal sema kulikua na jamaa dirisha la pili ananiangalia sana.Wakati natoka akatuma security aniite.Akajitambulisha akauliza shida nini?Nikamwelezea kwa ufasaha.Pia nikaelezea ubovu wa customer care zao.Tulizungumza kwa kina pia nikashauri waweke huduma tuweze kulipia kwa mtandaoni.
Alinielewa sana pia alifanya favor flani.
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa hiyo jumla kuna kampuni ngapi za kusafirisha Dar to Zanzibar?Na kama kuna kampuni nyingi kwa nini watu walikuwa wanang'an'gania kupanda Azam marine?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni dk 15-30 na nauli yake ni 50K kwa Precision
Kwa boti aisee ni kiwango.Siku ya kwanza nilisita kuipanda nikidhani Azam ni nzuri na bora zaidi.Biashara imepata mshindani Azam ajipange.Hilo siwezi kulikataa mkuu. Na zile boat zao mchina kama kawaida yake alivyovuruga mabasi ya Scania kwa kuleta Youtong, ile boat mayai hatari.
Wakiendelea hivyo hivyo itakua jambo lakheri.
Loh! That was too much.Mara ya mwisho kukata mm ilkua 74K precision November mwaka jana na Actl ilkua 66K
Sent using Jamii Forums mobile app
nipe habari yake mkuu..Unaifahamu Royal iliyounguzwa moto?
ᵀʰᵉ ᶠⁱʳˢᵗ ʳᵘˡᵉ ᵒᶠ ʷᵃʳ ᵃⁿᵈ ᵇᵘˢˢⁱⁿᵉˢˢ ⁱˢ "ᴷⁿᵒʷ ʸᵒᵘʳ ᵉⁿᵉᵐʸ ᵇᵉᵗᵗᵉʳ"
Hakika mkuuKwa wasafiri wa zanzibar DaresSalaam watafahamu adha tuliyokuwa tukiipata kwaajili ya wafanyakazi wa Azam marine
Ukichelewa kidogo tu mfano boat inayoondoka saa sita wewe umeenda kukata unaambiwa imejaa hata kama haijajaa alafu unakutana na vishoka nje wanakupa ticket ya 25000 kwa 40000 na wale wahudumu wanakuambia nenda hapo nje utapata ya kuondoka saa hii.
Kwa ufupi wamewanyanyasa sana abiria.
Mkuu sio kweli , mm nimesafiri sana zenji hizo habari nazisikia Leo kwako.
Sasa si ungesema tu ndio unazisikia kwake kuliko kumbishia?? Mimi ishanitokea mara kadhaa. I doubt you are a frequent travellerMkuu sio kweli , mm nimesafiri sana zenji hizo habari nazisikia Leo kwako.
Upo uzi humu niliandika kuhusu hii issueMadalali na wahuni wa Ticket pale Malindi wa Azam wamewafanyia uhuni sana wasafiri kwa muda mrefu. Sasa kapata ushindani nadhani huduma zitakuwa nzuri wakati huu.
Tuipongeze Serikali ya awamu ya tano.😀😀
Kakurupuka yuleUnabisha nini mkuu?
Mimi nimeshwuziwa ticketi ya 25K kwa 50K kiroho safi alafu wewe unataka kutetea ?
Kama wewe hunaga safari za haraka na dharura za kukata tiketi leo kwa leo hayawezi kukukuta hayo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa boti aisee ni kiwango.Siku ya kwanza nilisita kuipanda nikidhani Azam ni nzuri na bora zaidi.Biashara imepata mshindani Azam ajipange.
Sent using Jamii Forums mobile app