Azam Marine mambo shingoni. Zanzibar one na two mambo byeeee

Azam Marine mambo shingoni. Zanzibar one na two mambo byeeee

[QUOTE="Khaligraph Jordan, post: 34982903, member: 456855"
[/QUOTE]
usishindane na Azam Marine wako poa na wanajiamini
nimeshuhudia matukio mawili ya abiria kujirusha majini lk wale vijana wa Azam ni wepesi kutoa huduma za uokoaji
natafuta siku na mm nije nijaribu hiyo hudu

[/QUOTE]
hiyo ligi sasa, kwa sababu hiyo siyo post yangu ya kwanza ni baada ya masahihisho na kupewa like
nashukuru nimeshaisahihisha na kuweka neno sahihi huduma ya zanzibar 1
 
Bora ziwe nyingi, huduma itolewe kwa usawa sio kukandamizana na bei kisa mtoa huduma ni mmoja
 
Hilo siwezi kulikataa mkuu. Na zile boat zao mchina kama kawaida yake alivyovuruga mabasi ya Scania kwa kuleta Youtong, ile boat mayai hatari.

Wakiendelea hivyo hivyo itakua jambo lakheri.

Hata space kati ya siti moja na nyingine kwa economy ni kubwa sana ukilinganisha na Azam.
 
  • Thanks
Reactions: amu
Safi kabisa.. Ukiritimba utaisha sasa
Nasikia Azam sasa hivi hali mbaya. Economy ni 20,000 badala ya 25,000.

Kuna chombo kinaitwa Zanzibar One hii ni noma inakimbia hatari, one hour Zanzibar to Dar es Salaam halafu chombo kimetulia sana.

View attachment 1418732

lafu mbaya zaidi Zanzibar One inamtanguliza atangulie kuondoka lakini inapitwa njiani.

Jr[emoji769]
 
Wala hakuna dili na wahuni, Co. Inajua kila kitu na imebariki jambo hilo(inafaidika nao).

Hata kule kwny kiwanda chao cha juice ukipeleka maembe yako kwny roli na humjui dalali yataozea hapo nje ya geti ukiyaona hivi hivi.
Naunga mkono hoja...kuingiza gari la maembe pale kiwandani kama hauna dalali ni sawa na kuona pepo. Huyu mzee Bakharesa ni muumini safi sana je uonevu huu na dhuluma hii haioni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wamewahi kunigomea na wakasema ukikata hivo inatakiwa uwahi lisaa moja kabla.Nikamwambia lakin ticket mbona zipo tatizo liko wap?Blah blah zikawa nyingi,Sikutaka vurugu nikakata royal sema kulikua na jamaa dirisha la pili ananiangalia sana.Wakati natoka akatuma security aniite.Akajitambulisha akauliza shida nini?Nikamwelezea kwa ufasaha.Pia nikaelezea ubovu wa customer care zao.Tulizungumza kwa kina pia nikashauri waweke huduma tuweze kulipia kwa mtandaoni.
Alinielewa sana pia alifanya favor flani.

Sent using Jamii Forums mobile app


Sheria ya booking ndio pale maelezo yapo yanasema ukailipie 3 hour before departure ukichelewa wanaicancel wanaiuza mm cjawah kukata ticket nikaambiwa hamna ila kwenye booking ikawepo na ukipata mtu akakufnyia favour wanafnya kuna namna nyengen ya kukatiwa ticket kwenye kulog in ndio mana huyo aliekusaidia aliweza kufnya hivyo


Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa hiyo jumla kuna kampuni ngapi za kusafirisha Dar to Zanzibar?Na kama kuna kampuni nyingi kwa nini watu walikuwa wanang'an'gania kupanda Azam marine?

Sent using Jamii Forums mobile app


Zilkua boat za Azam minimmum price ni 25K Kuna na Flying horse ticket 18K Azam ni maximum hours ni 2hours kufka flying ni saa sita mpaka saa tisa na nusu per day kwenda Zanzibar na kurudi ni saa mbili ucku mpaka asubuh kushuka ipo moja Azam zpo nne boat rout 4 kwenda na nne kurudi per day sometime zinaongezeka depends on the customers walivo wengi km cku za ckukuu zinafka rout saba kwa cku


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo siwezi kulikataa mkuu. Na zile boat zao mchina kama kawaida yake alivyovuruga mabasi ya Scania kwa kuleta Youtong, ile boat mayai hatari.

Wakiendelea hivyo hivyo itakua jambo lakheri.
Kwa boti aisee ni kiwango.Siku ya kwanza nilisita kuipanda nikidhani Azam ni nzuri na bora zaidi.Biashara imepata mshindani Azam ajipange.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa wasafiri wa zanzibar DaresSalaam watafahamu adha tuliyokuwa tukiipata kwaajili ya wafanyakazi wa Azam marine
Ukichelewa kidogo tu mfano boat inayoondoka saa sita wewe umeenda kukata unaambiwa imejaa hata kama haijajaa alafu unakutana na vishoka nje wanakupa ticket ya 25000 kwa 40000 na wale wahudumu wanakuambia nenda hapo nje utapata ya kuondoka saa hii.

Kwa ufupi wamewanyanyasa sana abiria.
Hakika mkuu
 
  • Thanks
Reactions: amu
Madalali na wahuni wa Ticket pale Malindi wa Azam wamewafanyia uhuni sana wasafiri kwa muda mrefu. Sasa kapata ushindani nadhani huduma zitakuwa nzuri wakati huu.

Tuipongeze Serikali ya awamu ya tano.😀😀
Upo uzi humu niliandika kuhusu hii issue
 
Kwa boti aisee ni kiwango.Siku ya kwanza nilisita kuipanda nikidhani Azam ni nzuri na bora zaidi.Biashara imepata mshindani Azam ajipange.

Sent using Jamii Forums mobile app


Kushindana na Azam ni kazi sana ila nimependa ujio wa Zanzibar one, utaleta unafuu kwa wasafiri.

Kwa upande wangu lazima nibaki mteja mtiifu kwa Azam. Nimetoka nao mbali. Miaka zaidi ya nane kusafiri nao kila wiki sio jambo dogo.
 
  • Thanks
Reactions: amu
Back
Top Bottom