Azam Marine mambo shingoni. Zanzibar one na two mambo byeeee

Hahahahahahahaha.

Unatetea bure tu mkuu, kimavi kimemuingilia azam kwenye hii biashara. Unasema anabahatisha?? Sio kubahatisha mkuu ni technology. Yaani waswahili bhana, technology wanasema kumuachia awapite?? Ngoja nkupe shule mkuu.

Kilimanjaro 4 & 7 engine zake ni Jet sio propeller. Kilimanjaro 5 & 6 ni propeller. Unajua tofauti za boti zikiwa jet na propeller??

Zanzibar 1 & 2 zote ni jets na maximum knots zake ni 40 zote mbili wakati kilimanjaro 4 & 7 hazijafika knots 40 kwahiyo hapo azam atapigwa bao kila kukicha na wala sio suala la kumuachia. Haahahahahah
 
nipe habari yake mkuu..
Royal alikuja kama game changer lakini mwisho wa siku ikiwa nje ya bandari imepaki ikaungua. Wanao dominate biashara ya usafiri wa majini huwa hawawapendi hawa game changer.

"Cᵒᵃᶜᵏʳᵒᵃᶜʰ ⁿᵘʰ ᵇᵘˢˢⁱⁿᵉˢˢ ⁱⁿⁿᵃ ᶠᵒʷˡ ᶠⁱᵍʰT"
 

Nasikia jamaa alishawahi kuwepo kwenye hii ligi, akaondoa boti kupeleka Comoro.

Naona kajipanga upya na kurudi.
 
Nasikia jamaa alishawahi kuwepo kwenye hii ligi, akaondoa boti kupeleka Comoro.

Naona kajipanga upya na kurudi.
I'm not sure chief.

"Cᵒᵃᶜᵏʳᵒᵃᶜʰ ⁿᵘʰ ᵇᵘˢˢⁱⁿᵉˢˢ ⁱⁿⁿᵃ ᶠᵒʷˡ ᶠⁱᵍʰT"
 



Nakupa mda tumsubiri huu mwaka uishe tuone mwisho wake mana hii sio boat ya kwanza kumchallenge Azam sio Pemba sio Tanga sio Dar cjui walipotelea wapi[emoji23]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli tupu ukienda pale ofsin tikiti zimeisha alaf kuna watu wanauza nje au wanakuambia zipo vip tu hii hali inatia ukakasi sana.wakati nafasi za kusimama zipo wengi huwa juu kule hawakai huwa wanaangalia maji yalivyo.
 
I'm not sure chief.

"Cᵒᵃᶜᵏʳᵒᵃᶜʰ ⁿᵘʰ ᵇᵘˢˢⁱⁿᵉˢˢ ⁱⁿⁿᵃ ᶠᵒʷˡ ᶠⁱᵍʰT"

Zanzibar one alikuwepo zamani akijulikana kama Sea Star. Walikua na boat ya kijani. Tatizo walikua hawaleti boat mpya, walikua wanaleta chakavu, hata Royal nae alifanya kosa lile lile kuleta chakavu na akainunua Mega Speed almaarufu sepide) bahati mbaya haikuwahi kufanya kazi baada ya ukarabati uliowagharimu pesa nyingi.
 
Ok, kumbe alianzia akiwa Sea star, maana sea star naifahamu ila sikuwa na uhakika/uelewa jinsi walivyochange na kuwa Zanzibar one. Ahsante.

"Cᵒᵃᶜᵏʳᵒᵃᶜʰ ⁿᵘʰ ᵇᵘˢˢⁱⁿᵉˢˢ ⁱⁿⁿᵃ ᶠᵒʷˡ ᶠⁱᵍʰT"
 
Utupe UPDATE ya ligi leo

K vant

Tumeondoka wa kwanza kama dakika nne Zanzibar 1 nae katufuata kwa nyuma. Hapa tupo Chumbe na Zanzibar 1 atatangulia kuingia kwenye maboya.

Za kutoka Zanzibar , Kilimanjaro 4 kaachwa jamaa wako mbele. Kwa ufupi kwenye suala zima la mwendo Zanzibar one wako safi.
 

Shukrani, jamaa ni wazoefu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…