Azam Marine mambo shingoni. Zanzibar one na two mambo byeeee

Umezungumzia kasi na parking,umeacha huduma mbovu za madalali wahuni kwa kuuza tiketi kwa bei chafu

Sent using Jamii Forums mobile app



Ukikata ticket kwa pupa na bila kufata sheria lazma utapgwa tu kihivyo mm ni msafiri mzoefu wa Azam na cjawah kunnua ticket ya udalali wala kukosa ticket nabook ticket yngu nikifka nalipa nakatiwa au namuagza mtu bandarin anikatie ananitumia nafka naprint ama najiandaa kwa ticket ya bei yyte bandarin nikiikuta ofcn nachkua kwann unnue ticket ya udalali wakat hata itokee ajali jina lako halitajulikana kua ulikuepo kwenye boti kero za ticket zilkuepo kua na shida ila za udalali ni kujitakia


Sent using Jamii Forums mobile app
 
nashukuru kwa kunizindua mkuu..
 
Alimtafutia na kukodi Ndege iliyomkimbiza Nairobi baada ya bunge kusema apelekwe muhimbili ....
Jiwe alimuona huyu maana jamaa anabifu na wote waliomsaidia NABII NA MZALENDO WA KWELI TUNDU LISSU
 
Mkuu naona kama unamchongea Zanzibar 1. Usikute tunaifanyia subbotage kama ile. Sisi hatupendi ushindani ndo maana tunashusha bei zetu mpaka itafika 5,000. Kamuulize yule.
Royal?
 
Watakula jeuri yao! Shubaamiti...!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani hawana utaratibu wa kukata online?
 
Alimtafutia na kukodi Ndege iliyomkimbiza Nairobi baada ya bunge kusema apelekwe muhimbili ....

Hapana, alichofanya Turki ni kuweka dhamana namaanisha ndege kumchukua TL malipo yafanyike baadae. Vinginevyo walitakiwa walipe kwanza ndio ndege iondoke, yeye aliwahakikishia wenye ndege kwamba watalipwa kwa vile ni watu anafanya nao biashara.

Hii kitu hata spika JN aliwahi potosha bunge kwamba Turki amelipa pesa kwa ndege iliyomchukua kwenda Nairobi kitu ambacho si kwrli, waandishi walimtafuta mbunge akaweka sawa maelezo.

Yote katika yote, vyovyote itakavyokua, alitoa msaada mkubwa na wa aina yake kuhakikusha TL anawahishwa kupatiwa matibabu.
 
Unachosema ni kweli kuna kipindi nilikua nasimamoa project moja ya voda anbayo ilinilazima kila mwezi niende zanzibar .

Siku moja, sikufanya online booking kufika Azam Marine saa 11 asubuhi, tukavumilia mpaka wakafungua, tumekaa foleni wee, nakaribia kufika jamaa anatangaza economy , business zimeisha zimebaki V.I.P tu kwa boti ya kwanza.

Kufika kaunta, nikamuelezea hali yangu ya kazi akaniambia bado zipo akanikatia fresh tu, ila waliofuatia moto ni ule ule wa V.I.P.

hawa jamaa, kwenye tiketi wametupa shida sana, unless ufanye online booking

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo boti speed zake zinalingana ila tunaangalia nani akikimbia sana ataumia kwenye mafuta na comfort ya abiria.

Wote engine zao ni V16 ila wametofautiana kidogo Horsepower. Zanzibar 1 anatumia engine za MTU ambazo utumiaji wa mafuta akiwa kwenye speed ni mzuri.
Azam yeye anatumia Cummins KTA series akiwa kwenye speed fuel consumption haiwi rafiki na zina kelele sana.
 
Nyongeza ni kuwa Zanzibar 1 ina technology ya kisasa kuifanya iwe na balance ikiwa kwenye speed na eneo lenye hali mbaya hii inaitwa Humphree system.
Pia boti hizi zimekuja na Voyage Data Recorder.

Watu wanazibeza Zanzibar 1 & 2 kuwa ni mchina la hasha ukweli ni kuwa walio design ni Waholanzi ila boti zimejengwa China na zina engine bora za MTU V16 huyu ni mjerumani na gearbox za ZF.

Mimi binafsi nimefurahi kuletwa boti zenye teknologia ya kisasa hii itakuwa chachu ya wawekezaji wengine kuvutiwa na kuwekeza.
 
Mkuu kuna faida zipi za propeller kwa wasafiri ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Propela haina faida kwa msafiri inaleta mitetemo na kuondoa starehe.

Mfumo wa propela ni wa kizamani kwa boti za abiria,kutokana na kuleta mitetemo, ila ina faida ya kufanya engine isi operate wa mzunguko mkubwa (high rev) na kuwa na utumiaji mzuri wa mafuta.

Jet propulsion ambao ni mfumo wa kisasa huu unapunguza kelele,mitetemo na kustarehesha pia ina speed kubwa. Hasara yake ni ili uendeshe vizuri lazima utumie moto mwingi(high engine revolution) hapo ulaji wa mafuta unakuwa mkubwa kadri unavyokuwa speed na inataka matunzo sana.
 

Azam hapo kwenye utulivu na starehe inabidi apafanyie kazi.

Multimedia systems za Zanzibar 1 na 2 ukianzia na sehem za TV, USB charger, sauti za wahudum ile PA yao ziko vizuri sana. Azam ni kama designer wa Boat hatilii mkazo, TV kama zinapachikwa tu boat ikishakamilika.

Pia sijaongelea mfumo wa AC za Zanzibar 1 ziko vizuri sana. Azam AC ni shida, za Kilimanjaro 7 kabla ya boat kuondoka hua zinadondosha maji kwa abiria baadae yanakata.

Mwisho ni ile utulivu, Zanzibar 1 hazina makelele sana ukiwa ndani, chombo kinatulia kama upo kwa mwewe.

Sijui uimara wake na zitadumu kwa muda gani lakini kwa hichi kipindi ambacho bado ziko vizuri, zinafaa sana kwa matumizi.

Kilimanjaro boat zake najua ziko imara zana ila wajifunze kwa hawa jamaa kuboresha matoleo yajayo. 5 na 6 zile propeller kwangu ni matoleo mabovu kabisa.

Lakini bado narudi palepale ntaendelea kuwa mteja mtiifu kwa Azam. Nafurahia huu ushindani ili huduma ziboreshwe zaidi.
 
Mkuu hivi jamaa wa azam hawakupi offer yoyote so far?? Maana umekuwa ukisafiri nao for so long, week in week out
 
juzi ilichomoka na kilimanjaro VII baada ya nusu saa zikarudi nahisi hali ya hewa ilizingua.....ila sitaki kuamini kama ile VII mpyaaa kabisaa ipitwe na zanzibar one na siku zote lazima kilimanjaro zitangulizwe halafu jamaa anakua nyuma yake anampumulia.....kuangalia izi boti wakati zinaondoka huku zinakata mawimbi pale stesheni ni burudani mno....vipi zacharia kaongeza ya pili maana kule kwenye seastar bakhressa kamuongezea sealink nyingine yani full upinzani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…