Nimekuwa nikishangazwa sana na jambo hili kwamb kampuni kubwa nchini kwa maswala ya media ndio kwanza wafanyakazi wake mahiri wanatimka kila kukicha kwenda kufanya Kaz kwenye taasis zingine Tena wababaishaji wengine.
Mfano mzuri ni huyu afisa habari wa Simba sports club Ahmed Ally alikuwa mtangazaji mzuri Sana leo hii katimkia Simba sc kuwa afisa wa habari Kuja kupigana kelele na kina manara na bumbuli.
Ally kamwe nae nimesikia kuwa ndio amekuwa afsa wa habari wa yanga Sports Club .unaacha Kazi nzuri kampuni kubwa nchini halafu unaenda kupiga kelel na kina manara mbona siyo sawa hili.
Kuna yule wa Wasafi FM Ahmedi Abdlah nae alikuwa Azam Sports lkn sas yupo wasafi Tena kanawiri mno [emoji23] je ndio tusema hiz kampuni kubwa hamna kitu ni jina tu maslahi kiduchuu huku wanatengeneza faida kubwa supper nomal profit.
Nakuomba bwana le popoma mwandamizi
GENTAMYCIME kwa ufafanuz zaidi.
Sent from my Infinix X650 using
JamiiForums mobile app