Azam Media hakuna maslahi makubwa hadi watangazaji wake mahiri kutimka?

Azam Media hakuna maslahi makubwa hadi watangazaji wake mahiri kutimka?

Unakutana ni kijana ana degree anaamini huu ujinga
Wage bill kwa mishahara ya wafanyakazi wote kwa mwezi hiyo million 50 haifiki

Bado kuna mtu analeta ujinga milion 50 kusaini mtangazaji

Watangazaji wengi wanalipwa chini ya milion wale maarafu ndio anaweza akachukua million

Vijana wengi wanasikiliza mambo ya vijiweni eti mtangazaji anunuliwe kwa Milioni 50 itakuwa maajabu ya Dunia

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Mishahara ya media kubwa km itv,tbc na hao azam ni ya kawaida tu tofauti na media km wasafi na clouds ambao Ni media za burudani..Hizi media kubwa haziangalii mtu ili kujiendesha maana Zina mizizi mikubwa sn tofauti na media km wasafi na clouds au e media ambao mtangazaji anahama Kama mchezaji na anapandiwa dau ili tu aifanye redio kuwa maarufu

Mfano diva the bawse kaletwa wasafi kwa ada ya mil50 (za ndani) na analipwa mshahara mkubwa tu..Pia lil ommy katoka times fm kaja wasafi kang'olewa kwa dau kubwa na mshahara mkubwa..ambangile ndy Yule kapewa Hadi crown ya kutembelea pale wasafi fm,wakati enzi yupo magic fm na channel ten media za CCM anachambua mpira hakupata hiyo gar..Nani atafanya hivyo tbc au Azam wakati unalipwa mshahara?

Sasa ndugu yangu goloka unaambiwa yanga unalipwa m7 per month (kwa mfano) utakubali kubaki Azam kwa mil 2? Alafu Kumbuka yanga au Simba zinakufanya kuwa maarufu Kama manara Kisha unapata madili ya mikataba na makampuni mbalimbali huko social medias Kama joti na manara kwa sababu ya fan base uliyonayo kwa nn asikubali kufanya kazi na yanga au Simba
Yanga au Simba ulipwe mil 7?? Umesahau mshahara wa manara ulivuja ni laki 7??

Kama manara alikuwa akilipwa laki 7, huyo Ahmed ally unategemea nn? Si ndio siku kadhaa nyuma mke wake alitaka kusepa kisa jamaa hana kitu apeche aloloo?
 
Km chai acha usiinywe..

Na Kama kwako mil 50 Ni nyingi,Nikukumbushe tu; sekta ya burudani ndy sekta inayolipa na inayoingiza pesa mingi zaidi kwa Sasa hapa bongo..

Nikukumbushe pia;mwaka ambao msanii Darassa CMG anatoa nyimbo "maisha na muziki" ndy mwaka ambao alilipwa he'll nyingi Sana kwenye kila show ya fiesta na clouds media na ndy msanii aliyepiga show mikoa yote Hadi fiesta inaisha..so unaweza kuvuta picha aliingiza pesa kiasi gani kwa ajili ya show moja tu fiesta ule mwaka

Point yangu Ni kwamba kwa media Kama clouds na wasafi hiyo mil 50 si kitu maana wao wanafanya usajiri wa watangazaji pia kuvutia brands zao zishishuke..Au umesahau kitenge anavyopandiwa dau na media mbalimbali kwenda kuzibrand na Kisha anasepa?
Bongo utapeli mwingi unaweza ukazungushwa nchi nzima na ukaambulia vijisenti sawasawa na Wasanii kwenye kampeni za ccm wazungushwa mikoa yote ya Tanzania mwisho wa kampeni pesa wazo pewa hazitoshi hata kujenga Nyumba ya kuishi, nchi za East Africa hakuna nchi yenye viongozi wadhulumaji kama Viongozi waki Tanzania tena kwenye sekta zote mnaweza kukubaliana kiasi fulani na ikifika kwenye malipo sasa Kimbembe.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Unaposema wananyonywa unamaanisha nini?

Unajua operation cost za kurun media house?
Au umekaa nyumbani na cheti chako cha uandishi wa habari unalaumu tu
Sina cheti cha journalism. Sawa hebu tusaidie kwenye hilo la gharama za kurun media house mkuu tupate mwanga
 
Nimekuwa nikishangazwa sana na jambo hili kwamb kampuni kubwa nchini kwa maswala ya media ndio kwanza wafanyakazi wake mahiri wanatimka kila kukicha kwenda kufanya Kaz kwenye taasis zingine Tena wababaishaji wengine.

Mfano mzuri ni huyu afisa habari wa Simba sports club Ahmed Ally alikuwa mtangazaji mzuri Sana leo hii katimkia Simba sc kuwa afisa wa habari Kuja kupigana kelele na kina manara na bumbuli.

Ally kamwe nae nimesikia kuwa ndio amekuwa afsa wa habari wa yanga Sports Club .unaacha Kazi nzuri kampuni kubwa nchini halafu unaenda kupiga kelel na kina manara mbona siyo sawa hili.

Kuna yule wa Wasafi FM Ahmedi Abdlah nae alikuwa Azam Sports lkn sas yupo wasafi Tena kanawiri mno [emoji23] je ndio tusema hiz kampuni kubwa hamna kitu ni jina tu maslahi kiduchuu huku wanatengeneza faida kubwa supper nomal profit.

Nakuomba bwana le popoma mwandamizi GENTAMYCIME kwa ufafanuz zaidi.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Jipu ni jepesi hapa mbona... unamzungumzia mtangazaji wa wa kiwango gani?

Je unaweza kuhamsha mtangazi mwandamizi kutoka Azm Media kama Baruani Mhuza, Ivvona Kamuntu n.k

Au watangazaji wanaochipukia ambao bado wana muda wa kuonyesha umahiri wao?

Vipi waliohama media zingine kama Sahara Media na IPP kutimkia Azam?


Nadhani wakati mwingine tulete Bango critical jamani.... Halafu kutoka mtangazaji wa kawaida kuwa msemaji wa Timu ni kupanda na sii kushuka......
 
Back
Top Bottom