Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Tunyamaze vipi tena mkuu? Mjadala umeletwa hapa watu wanaudiscuss.Ni bora unanyamaze tu km hujui mkuu sio kulaumu
Wewe unasema gharama za kuendesha media house ndiyo zinafanya mishahara ya waandishi iwe midogo.
Tufafanulie uendeshaji wa hizi media house ili lawama zisiende kwa hizi media