Azam Media hakuna maslahi makubwa hadi watangazaji wake mahiri kutimka?

Tulifunge hili..

Watoto wa kiume kumwongelea mwanamke sijui analipwa bla bla haimake sense
 
Verse ya mwisho imenifanya nicheke kama fisi maji
 
Sio kwamba hawalipi vizuri bali mtu mwenyewe ana malengo yake binafsi na tayari ameshapata thamani inayomfanya alipwe zaidi ya pale hivyo anaamua kwenda sehemu nyingine ambayo kimsingi imeshaona ubora wa kazi yake na kwa kuwa ana kazi tayari anakuwa na nafasi nzuri ya ku-negotiate mshahara. Siku zote ukiwa sehemu moja mshahara wako utakuwa pale pale tofauti na nyongeza za kila mwaka au miezi 6 kwa kuwa ndio thamani yako kwa kipindi hicho hivyo huyo bwana akitaka kurudi tena AZAM watapanda dau zaidi ya lile la anakokwenda.

Hata huku uswahilini ukikaa sehemu moja muda mrefu unajikuta una ongezeko dogo la mshahara tofauti na wale mabingwa wa kuhamahama kwa kuwa anaomba sehemu nyingine huku akiwa na kazi hivyo kwenye mshahara unakuta anapata zaidi ya mshahara wa awali
 
Sas huko s kimataifa mkuu cnn na aljazira iko waz Ni sehemu nyeti mno

Namkumbuka mtangazaji mmoja anaitwa vyone ndege siju Bado Yuko aljazira

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Sasa ndio ujue kaz ni mapito Tu.

Ndio maana unaona watu wanahama kutoka team A Kwenda timu B.

Ni Jambo la kawada!

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Tena kama siku hizi watangazaji wa media kubwa zenye vipindi vya michezo wanapiga deiwaka kwenye tv ya mtandaoni inaitwa valor tv. Sasa hata mikataba yao sijui ni ya namna gani!
 
Tena kama siku hizi watangazaji wa media kubwa zenye vipindi vya michezo wanapiga deiwaka kwenye tv ya mtandaoni inaitwa valor tv. Sasa hata mikataba yao sijui ni ya namna gani!
Kam kina Nani mkuu hao vijana

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Sasambona hamedially kakimbiliaanakolipwa lakisabakamamwalimuwa shuleyamsingi
 
Inamaana Azam wanalipa mshara chini ya milioni 2 mfno kwa Ally kamwe

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hata wakilipa million 2 na alikoenda analipwa million 2 na marupurupu kibao kipi bora? Pia wengine hawana visimbusi vya Azam hivyo hao watangazaji hawatajulikana kivile ila wakiwa kwenye vilabu watajulikana chap
 
Kweli wee Ni mtot haswa haya mtot mzuri kaoge ulale

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kuna taasisi zimechoka ila zina mishahara mizuri, na kuna zingine zina majengo mazuri na usafiri, ila mishahara ni midogo.

Kuhama kwa hao uliowataja, itakuwa wamefuata maslai pamoja na fursa zilizojificha ambazo mimi na wewe hatuzioni kwenye hizo nafasi wanazoenda kwa sasa.
 
Hakuna media ya Tanzania ya kutoa milion 50 kwa ajili ya kumsaini mtangazaji huyo rafiki yako anakujaza upepo
Acha milion hamsini hata milion kumi tu mtihani

Unatoa mfano ambao sio hai kufanya show na kusaini mtangazaji

Acha uwongo wa bei rahisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…