Azam Media hakuna maslahi makubwa hadi watangazaji wake mahiri kutimka?

Unakutana ni kijana ana degree anaamini huu ujinga
Wage bill kwa mishahara ya wafanyakazi wote kwa mwezi hiyo million 50 haifiki

Bado kuna mtu analeta ujinga milion 50 kusaini mtangazaji

Watangazaji wengi wanalipwa chini ya milion wale maarafu ndio anaweza akachukua million

Vijana wengi wanasikiliza mambo ya vijiweni eti mtangazaji anunuliwe kwa Milioni 50 itakuwa maajabu ya Dunia

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Yanga au Simba ulipwe mil 7?? Umesahau mshahara wa manara ulivuja ni laki 7??

Kama manara alikuwa akilipwa laki 7, huyo Ahmed ally unategemea nn? Si ndio siku kadhaa nyuma mke wake alitaka kusepa kisa jamaa hana kitu apeche aloloo?
 
Bongo utapeli mwingi unaweza ukazungushwa nchi nzima na ukaambulia vijisenti sawasawa na Wasanii kwenye kampeni za ccm wazungushwa mikoa yote ya Tanzania mwisho wa kampeni pesa wazo pewa hazitoshi hata kujenga Nyumba ya kuishi, nchi za East Africa hakuna nchi yenye viongozi wadhulumaji kama Viongozi waki Tanzania tena kwenye sekta zote mnaweza kukubaliana kiasi fulani na ikifika kwenye malipo sasa Kimbembe.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Unaposema wananyonywa unamaanisha nini?

Unajua operation cost za kurun media house?
Au umekaa nyumbani na cheti chako cha uandishi wa habari unalaumu tu
Sina cheti cha journalism. Sawa hebu tusaidie kwenye hilo la gharama za kurun media house mkuu tupate mwanga
 
Jipu ni jepesi hapa mbona... unamzungumzia mtangazaji wa wa kiwango gani?

Je unaweza kuhamsha mtangazi mwandamizi kutoka Azm Media kama Baruani Mhuza, Ivvona Kamuntu n.k

Au watangazaji wanaochipukia ambao bado wana muda wa kuonyesha umahiri wao?

Vipi waliohama media zingine kama Sahara Media na IPP kutimkia Azam?


Nadhani wakati mwingine tulete Bango critical jamani.... Halafu kutoka mtangazaji wa kawaida kuwa msemaji wa Timu ni kupanda na sii kushuka......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…