Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Tunyamaze vipi tena mkuu? Mjadala umeletwa hapa watu wanaudiscuss.Ni bora unanyamaze tu km hujui mkuu sio kulaumu
Ishu ya manara haipo Kama unavyoandika..Yanga au Simba ulipwe mil 7?? Umesahau mshahara wa manara ulivuja ni laki 7??
Kama manara alikuwa akilipwa laki 7, huyo Ahmed ally unategemea nn? Si ndio siku kadhaa nyuma mke wake alitaka kusepa kisa jamaa hana kitu apeche aloloo?
Yanga au Simba ulipwe mil 7?? Umesahau mshahara wa manara ulivuja ni laki 7??
Kama manara alikuwa akilipwa laki 7, huyo Ahmed ally unategemea nn? Si ndio siku kadhaa nyuma mke wake alitaka kusepa kisa jamaa hana kitu apeche aloloo?
Ninyi ni aina ya watu mnaofikiri anayefanya kaz benki atakuwa na hela nyingi, anayefanya Kazi kwenye kampuni ya Toyota VX 8, Lazma aendeshe V8. Acha KUwa na mawazo mgando, kwenye hizo kampuni kuna hadi wafagia taka n.k na kila mmoja anavyolipwa kulingana na makibaliano Yao.Ni sahihi mkubwa ila inashangaza san kampuni inatoa bilion 250 Kweli kuzamini mpira bado wafanyakaz wake wakose furaha hatari sna hili
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
sahih kbsa eti wanasema million nne anasain pale moo akulipe million 4 kwa Kaz ipi kubrand simba ambayo taayari Ina jina kubwa sanaa analiipwa 1.2 au less than that hkn sehemu muhiind alipe kias hchoYanga au Simba ulipwe mil 7?? Umesahau mshahara wa manara ulivuja ni laki 7??
Kama manara alikuwa akilipwa laki 7, huyo Ahmed ally unategemea nn? Si ndio siku kadhaa nyuma mke wake alitaka kusepa kisa jamaa hana kitu apeche aloloo?
Bdoze ajangolewa alitimukiwa baada ya kuleta ujuwaji wa kiwango Cha juuUnajua dozen kang'olewa kwa bei gani pale cmg
Unajua dozen kang'olewa kwa bei gani pale cmg
Sas yey ndio kaandika kunawili badal ya kunawiri...Ni KUNAWIRI Sio KUNAWILI....[emoji846]
Dad sijaongelea media kwa media nimeongelea media kwenda kuwa afsa habr Niko specific SanaJipu ni jepesi hapa mbona... unamzungumzia mtangazaji wa wa kiwango gani?
Je unaweza kuhamsha mtangazi mwandamizi kutoka Azm Media kama Baruani Mhuza, Ivvona Kamuntu n.k
Au watangazaji wanaochipukia ambao bado wana muda wa kuonyesha umahiri wao?
Vipi waliohama media zingine kama Sahara Media na IPP kutimkia Azam?
Nadhani wakati mwingine tulete Bango critical jamani.... Halafu kutoka mtangazaji wa kawaida kuwa msemaji wa Timu ni kupanda na sii kushuka......
Hpn Kuna unyonjwaji wa juu Sana nin mtu Yuko Toyota anlipwa milioni 10++Ninyi ni aina ya watu mnaofikiri anayefanya kaz benki atakuwa na hela nyingi, anayefanya Kazi kwenye kampuni ya Toyota VX 8, Lazma aendeshe V8. Acha KUwa na mawazo mgando, kwenye hizo kampuni kuna hadi wafagia taka n.k na kila mmoja anavyolipwa kulingana na makibaliano Yao.
Safi San mzee swali zuri ajieleze vzr siyo kuzusha mamb hapaTunyamaze vipi tena mkuu? Mjadala umeletwa hapa watu wanaudiscuss.
Wewe unasema gharama za kuendesha media house ndiyo zinafanya mishahara ya waandishi iwe midogo.
Tufafanulie uendeshaji wa hizi media house ili lawama zisiende kwa hizi media
Umeona hoja ijibiwe kwa hojaSafi San mzee swali zuri ajieleze vzr siyo kuzusha mamb hapa
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Sas yey anazusha Kisha anaingia mitiniUmeona hoja ijibiwe kwa hoja
Hoja yenye mashiko ndo inafunga mjadala mnakuwa mmefikia hitimisho
era-HelaAlfu- Halafu
Kunawiri- kunawili
Maslai-maslahi
kia's- kiasi
Afsa- Afisa
hbr- habari