Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Waambie wapunguze maringo na mikwaraInasemekana wameandaa barua kuidai fidia bodi ya ligi kwa hasara waliyopata tarehe 8 na endapo bodi itashindwa kulipa fidia ndani ya siku 7 basi mechi namba 184 kati ya Yanga na Simba haitarushwa.
Waambie wapunguze maringo na mikwara
Ukiwa zako hapo Gairo unakimbiza mabasi madirishani kuuza viazi unaweza tu kuamua kuwatoa azam na kuwapa DStv au vipiHana hiyo jeuri, huduma yake anawezapigwa chini vizuri tu tukampa mkataba DStv aonyeshe ligi ya ndani halafu tuone nani atapata hasara zaidi
Dawa ya deni ni kulipa.Inasemekana wameandaa barua kuidai fidia bodi ya ligi kwa hasara waliyopata tarehe 8 na endapo bodi itashindwa kulipa fidia ndani ya siku 7 basi mechi namba 184 kati ya Yanga na Simba haitarushwa.
Na kushushwa daraja la 4 pia?Kwenye sheria za mpira hamna sheria inayolazimisha mechi kurushwa, kwahiyo itachezwa hivyo hivyo na utopolo wakikimbia wafyekwe points 15 mara moja.
Unadhani ni rahisi kama kumfukuza house girl eti?Hana hiyo jeuri, huduma yake anawezapigwa chini vizuri tu tukampa mkataba DStv aonyeshe ligi ya ndani halafu tuone nani atapata hasara zaidi
Nyie mlipo kimbia mlikatwa point ngapiKwenye sheria za mpira hamna sheria inayolazimisha mechi kurushwa, kwahiyo itachezwa hivyo hivyo na utopolo wakikimbia wafyekwe points 15 mara moja.
huyo dstv ndo hamumuwezi kabisa huyo hataki longolongo kwanza kwa hili tu sasahivi mngekuwa mnamlipa mabilioni ya pesa!, nyie mmezoea ukiritimbaHana hiyo jeuri, huduma yake anawezapigwa chini vizuri tu tukampa mkataba DStv aonyeshe ligi ya ndani halafu tuone nani atapata hasara zaidi