Azam Media Kutopeleka Vifaa vya matangazo tarehe 15.06.2025

Azam Media Kutopeleka Vifaa vya matangazo tarehe 15.06.2025

wasipo rusha matangazo wanakiuka mkataba wao na TFF alafu zipo kampuni nyingi zinataka io tenda asijichanganye.
 
Inasemekana wameandaa barua kuidai fidia bodi ya ligi kwa hasara waliyopata tarehe 8 na endapo bodi itashindwa kulipa fidia ndani ya siku 7 basi mechi namba 184 kati ya Yanga na Simba haitarushwa.
Azam media, wana akili sana, wakikubali kwenda kurusha wataingia hasara mara 2

Wazo, bora azam walipwe kabisaa Hela za kurushwa matanganzo ya tarehe 8 na 15
 
Inasemekana wameandaa barua kuidai fidia bodi ya ligi kwa hasara waliyopata tarehe 8 na endapo bodi itashindwa kulipa fidia ndani ya siku 7 basi mechi namba 184 kati ya Yanga na Simba haitarushwa.
Kiongozi unaweza ukatuwekea hiyo barua na sisi tukajirizisha kwenye hilo
 
Startimes mchina uyo anataka leo kesho pamoja na Dstv bado zipo kampuni za njee ukitangaza tenda ni chapu tu.
Mara yamwisho Dstv aligoma kushiriki kwenye kubid tenda na sababu aliyotoa ni miundombinu mibaya ya viwanja vyetu, alitaka vyote viwe na hadhi angalau kama ya Azam complex.
 
Back
Top Bottom