Msolo
JF-Expert Member
- Oct 19, 2008
- 3,832
- 5,309
Mda wa TFF/Bodi ya ligi kukaa uchi.Nyie mlipo kimbia mlikatwa point ngapi
Mda wa TFF/Bodi ya ligi kukaa uchi.Nyie mlipo kimbia mlikatwa point ngapi
Fala nini,kama we unauza viazi sio kila ni mtu ni muuza viazUkiwa zako hapo Gairo unakimbiza mabasi kuuza viazi unaweza tu kuwapa DStv au vipi
Mkampa wewe na nani??Hana hiyo jeuri, huduma yake anawezapigwa chini vizuri tu tukampa mkataba DStv aonyeshe ligi ya ndani halafu tuone nani atapata hasara zaidi
Nafikiri anayepaswa kuwajibishwa ni yule aliyepelekea mchezo kuairishwahuyo dstv ndo hamumuwezi kabisa huyo hataki longolongo kwanza kwa hili tu sasahivi mngekuwa mnamlipa mabilioni ya pesa!, nyie mmezoea ukiritimba
Itarushwa na DSTV kwani Kila siku iwe wao tu?Inasemekana wameandaa barua kuidai fidia bodi ya ligi kwa hasara waliyopata tarehe 8 na endapo bodi itashindwa kulipa fidia ndani ya siku 7 basi mechi namba 184 kati ya Yanga na Simba haitarushwa.
Mimi na tuliompa azamMkampa wewe na nani??
Kwaiyo unazani uwezo wa kulipa fidia ya mkataba na kuuvunja rasmi apewe tenda mtu mwengine haupo?Au yuko zake Chalinze anakimbiza mabasi ili kuuza mananasi yake, basi anaona kila kitu ni rahisi tu! 😁
Unataka kumaanisha hana hela ya kumreplace azam au ndiyo mtatumia ujanja ule ule wa kuzuia star link Tz ili kampuni za mawasiliano za wazawa zibaki sokoni?DSTV huyu huyu aliye hati hati kung'atuka na kuwaacha Canal au unajitekenya na kucheka mwenyewe?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Mashabiki wa mpira mna nongwa sana, mwamba unaandika as if na wewe una cheo bodi ya ligi 😆😆, kwamba azam akizingua chap mnavunja mkataba mnampa mwingine.Mimi na tuliompa azam
Hao DSTV ni kwamba hela zao zimekosa shughuli ya kufanyia mpaka waamue kuja kuzipoteza kwenye hii ligi inayo ongozwa na vilaza akina Karia na Mguto!Kwaiyo unazani uwezo wa kulipa fidia ya mkataba na kuuvunja rasmi apewe tenda mtu mwengine haupo?
Hakuna video,zingekuwepo ungeshaona siku nyingi sanaKwani lazima ionyeshe? Kwani mechi haiwezi chezwa..na matokeo yakapatikana?...
Halafu hao bodi nini kinawapa uzito kutoa taarifa za uchunguzi? Kuwa mashabiki wa uto walifanya vurugu na video si zipo?? Maana na hata Simba wanazo hizo video walisema watazimwaga kama itabidi...
Then hao Bodi walisema kuna viashiria vya rushwa kama ni rushwa kwanini wasiseme wazi hizo rushwa zilitoka kwa nani kwenda kwa nani..kama alipewa meneja wa uwanja asifungue waseme pia...
Yani natamani hyo ripori waitoe wanashikwa na kigugumizi kipi? Kwny hili na mm nataka watoe ripoti yao watu wabakie uchii....
Nyie mlipo kimbia mlikatwa Point ngapi?Kwenye sheria za mpira hamna sheria inayolazimisha mechi kurushwa, kwahiyo itachezwa hivyo hivyo na utopolo wakikimbia wafyekwe points 15 mara moja.
Wasiporusha ndio inakuwa hasara zaidi, pesa za matangazo ya biashara watakosa.Inasemekana wameandaa barua kuidai fidia bodi ya ligi kwa hasara waliyopata tarehe 8 na endapo bodi itashindwa kulipa fidia ndani ya siku 7 basi mechi namba 184 kati ya Yanga na Simba haitarushwa.
Simba wanavyo jitutumua sasa hivi utadhani siyo wale walio kimbia Tarehe 08.Hao DSTV ni kwamba hela zao zimekosa shughuli ya kufanyia mpaka waamue kuja kuzipoteza kwenye hii ligi inayo ongozwa na vilaza akina Karia na Mguto!
Nadhani Azam Media wanastahili pongezi na pia kuheshimiwa sana, kwa sababu ya kuwa na moyo wa kuvumilia upuuzi na utoto kama ule wa tarehe 8 March, 2025!
Uwezo si kigezo cha Mfanyabiashara kukubalika nchi zetu hizi za dunia ya 3.Unataka kumaanisha hana hela ya kumreplace azam au ndiyo mtatumia ujanja ule ule wa kuzuia star link Tz ili kampuni za mawasiliano za wazawa zibaki sokoni?
Zipo kesi si ipo kwny uchunguzi? TFF sio kwamba Simba haiwasubirii wajikoroge kwny maamuzi Simba na wao inawangalia hao TFF wajikorogeHakuna video,zingekuwepo ungeshaona siku nyingi sana
Kampuni gani inaweza kufanya biashara ya kijinga isiokua na ratibawasipo rusha matangazo wanakiuka mkataba wao na TFF alafu zipo kampuni nyingi zinataka io tenda asijichanganye.
Hakuna report wala hotpotKwani lazima ionyeshe? Kwani mechi haiwezi chezwa..na matokeo yakapatikana?...
Halafu hao bodi nini kinawapa uzito kutoa taarifa za uchunguzi? Kuwa mashabiki wa uto walifanya vurugu na video si zipo?? Maana na hata Simba wanazo hizo video walisema watazimwaga kama itabidi...
Then hao Bodi walisema kuna viashiria vya rushwa kama ni rushwa kwanini wasiseme wazi hizo rushwa zilitoka kwa nani kwenda kwa nani..kama alipewa meneja wa uwanja asifungue waseme pia...
Yani natamani hyo ripori waitoe wanashikwa na kigugumizi kipi? Kwny hili na mm nataka watoe ripoti yao watu wabakie uchii....