ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 16,307
- 31,727
Sasa kama kesi ipo kwenye uchunguzi wamepanga tarehe ya mechi ya nini bila kupata solution ya kilicho sababisha mechi ya tarehe 8 ivunjike?Zipo kesi si ipo kwny uchunguzi? TFF sio kwamba Simba haiwasubirii wajikoroge kwny maamuzi Simba na wao inawangalia hao TFF wajikoroge