Kweli wasije trh 15 wakaenda tena yanga asitokee hasara mara2, bora wadai chao mapema.Azam media, wana akili sana, wakikubali kwenda kurusha wataingia hasara mara 2
Wazo, bora azam walipwe kabisaa Hela za kurushwa matanganzo ya tarehe 8 na 15
Kweli wasije trh 15 wakaenda tena yanga asitokee hasara mara2, bora wadai chao mapema.Azam media, wana akili sana, wakikubali kwenda kurusha wataingia hasara mara 2
Wazo, bora azam walipwe kabisaa Hela za kurushwa matanganzo ya tarehe 8 na 15
Ni mwendo wa kusimamia tuu...hahahah 🤣 🤣 🤣Wewe hauchuchumai kuharishaga?
Mchinga soundInasemekana wameandaa barua kuidai fidia bodi ya ligi kwa hasara waliyopata tarehe 8 na endapo bodi itashindwa kulipa fidia ndani ya siku 7 basi mechi namba 184 kati ya Yanga na Simba haitarushwa.
Kwamba kila kitu wakubali tu hasara za ovyo ovyo wakubali...itatuchukua Karne nzima kukubaliana na ukweli kuwa hatuwezi kuwa wawazi na wakweli kwenye mambo tunayokubaliana kuyafuata.Azam wanajua nguvu za mapacha wa kariakoo yaani simba na yanga.
Hivyo lazima azam wawe wajanja kufidia hasara zao
Sawa kabisa. Ubaya ubwelanadhani ikiwa kweli inabidi na sisi tuliolipia visimbuzi ili tuweze kuangalia mpira ile tarehe tuwadai azam tv watulipe..
Au yupo zake ikwiriri anakimbiza mabasi ili kuuza mahindi yake ya kuchemsha,anaona kila kitu ni rahisi tuAu yuko zake Chalinze anakimbiza mabasi ili kuuza mananasi yake, basi anaona kila kitu ni rahisi tu! 😁
Uhuni kama hii ya Bodi ya ligi lazima likomeshwe kabisa. Yaani wanahairisha mechi kienyeji alafu wanakalia ripoti. Bila uhuni kukomeshwa wataendelea kutuaribia sisi wapenda michezo.Kwani lazima ionyeshe? Kwani mechi haiwezi chezwa..na matokeo yakapatikana?...
Halafu hao bodi nini kinawapa uzito kutoa taarifa za uchunguzi? Kuwa mashabiki wa uto walifanya vurugu na video si zipo?? Maana na hata Simba wanazo hizo video walisema watazimwaga kama itabidi...
Then hao Bodi walisema kuna viashiria vya rushwa kama ni rushwa kwanini wasiseme wazi hizo rushwa zilitoka kwa nani kwenda kwa nani..kama alipewa meneja wa uwanja asifungue waseme pia...
Yani natamani hyo ripori waitoe wanashikwa na kigugumizi kipi? Kwny hili na mm nataka watoe ripoti yao watu wabakie uchii....
DSTV Watanzania mtaweza kulipa?Hana hiyo jeuri, huduma yake anawezapigwa chini vizuri tu tukampa mkataba DStv aonyeshe ligi ya ndani halafu tuone nani atapata hasara zaidi
Mfano kampuni gani?wasipo rusha matangazo wanakiuka mkataba wao na TFF alafu zipo kampuni nyingi zinataka io tenda asijichanganye.
Anajua ni kufyatua matofali ya udongo kinachotakiwa ni nguvu maji na udongo..Kampuni kama zipi mkuu zinazoweza kufanya hivyo?
Kwann wasipewe unadhan hawataman kuonesha ligi yetu,kwanza wana HD ya kweliUkiwa zako hapo Gairo unakimbiza mabasi kuuza viazi unaweza tu kuwapa DStv au vipi
Ngoja tuone.Waambie wapunguze maringo na mikwara
DStv hawezi Wala hataki hiyo tenda anasema ni hasara kwakeHana hiyo jeuri, huduma yake anawezapigwa chini vizuri tu tukampa mkataba DStv aonyeshe ligi ya ndani halafu tuone nani atapata hasara zaidi
Kwani mkuu ile taarifa iliyotolewa na Azam media baada ya mechi kuahirishwa inamaana iliandaliwa na Yanga au??UPOTOSHAJI ALERT:
Yanga wanajua moja ya sababu zinazopunguza uhalali wa madai yao ya 08/03 ni kitendo cha siku ile Azam kuwapotezea baada ya taarifa ya mechi kuahirishwa kutoka bodi ya ligi. Hawana uthibitisho wowote wa kuwepo uwanjani zaidi ya picha za simu wakiondoka uwanjani na bodaboda.
Niliwahi kuhoji, hata Yanga wenyewe hawana hata picha zozote wakiwa uwanjani wakiwa wamevaa jezi za mechi wakisubiri mpira kuanza. Azam ingewasaidia kuwaongezea uhalali huu lakini na wenyewe ilivyofika saa 7 mchana walifungasha virago wakasepa.
Huu ni uzushi kama uzushi mwingine. Yanga kama wazoefu wa fitna na propaganda, wanafanya hivi kuwapa pressure Azam na kujaribu kuwaharibia biashara kwa kuzusha hizi taarifa ili waumie kibiashara kwenye mechi ya 15/06 na wakitarajia malalamiko ya Azam yanaweza kuwaongezea nguvu Yanga katika madai yao.
Azam haikupata hasara kutokana na mechi kuahirishwa. Kama ni matangazo ya mechi walifanya kwenye vyombo vyao wenyewe, kama ni kusafirisha vifaa na nguvu kazi wametokea Tabata hapo, umbali wa chini ya nusu saa hadi uwanjani. Hizi siyo "hasara" za kuwafanya wafanye maamuzi ya kususa kwa kampuni kubwa kama hii. Tena kuna kafaida ka ziada walipata maana watu walinunua vifurushi kwa wingi. Inawezekana ilibidi warudishe sehemu ya pesa waliyopata kutokana na matangazo ya biashara ila sioni kama hii ni hasara, labda uite ukosefu wa mapato.
Hizi ni propaganda tu za Yanga. Azam haiwezi kususa kurusha matangazo kisa walileta vifaa uwanjani halafu mechi haikuchezwa.Kwani mkuu ile taarifa iliyotolewa na Azam media baada ya mechi kuahirishwa inamaana iliandaliwa na Yanga au??
Afadhali wasionyeshe ili uwanja ujaeInasemekana wameandaa barua kuidai fidia bodi ya ligi kwa hasara waliyopata tarehe 8 na endapo bodi itashindwa kulipa fidia ndani ya siku 7 basi mechi namba 184 kati ya Yanga na Simba haitarushwa.
Watarusha tu bila shaka hiyo mechi kati ya Simba makolo vs Simba queen,Watarusha tu hiyo jeuri wameitoa wapi