Azam Media Kutopeleka Vifaa vya matangazo tarehe 15.06.2025

Azam Media Kutopeleka Vifaa vya matangazo tarehe 15.06.2025

Unavyoongea kama ni rahisi sana.... Unajua thamani ya mkataba wa Azam ulivyo? Unajua gharama ya kuvunja mkataba huo?. Tff wanazo hizo pesa?, acha kurahisisha vitu kwa kutype tu.
Wataalamu wa jeiefu hao.
 
Hizo haki za matangazo ya ligi kuu akipewa Dstv,hiyo Azam inajifia kifo cha mende ni heri mara 1000 mtu ukawa na Startimes ambao tayari sasa hivi wameweka wazi kuonesha Club World Cup huku Azam TV wapo kimya.
 
Azam media wadai fidia kupitia mchakato wa usuluhishi (arbitration) ulioko ndani ya mkataba. Mbona kesi ndogo hii
 
Inasemekana wameandaa barua kuidai fidia bodi ya ligi kwa hasara waliyopata tarehe 8 na endapo bodi itashindwa kulipa fidia ndani ya siku 7 basi mechi namba 184 kati ya Yanga na Simba haitarushwa.
Sasa watamrusha mguto, karia, kasongo na Simba watakaokuwepo uwanjani au watarusha kitu Gani wakati yanga achezi iyo mechi?
 
Back
Top Bottom