Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
- Thread starter
-
- #141
Wataalamu wa jeiefu hao.Unavyoongea kama ni rahisi sana.... Unajua thamani ya mkataba wa Azam ulivyo? Unajua gharama ya kuvunja mkataba huo?. Tff wanazo hizo pesa?, acha kurahisisha vitu kwa kutype tu.
Azam ni wenye utimamu wa akili, utafikiri hao kama uto?Unatumia muda mwingi kuandika pumba
Sasa watamrusha mguto, karia, kasongo na Simba watakaokuwepo uwanjani au watarusha kitu Gani wakati yanga achezi iyo mechi?Inasemekana wameandaa barua kuidai fidia bodi ya ligi kwa hasara waliyopata tarehe 8 na endapo bodi itashindwa kulipa fidia ndani ya siku 7 basi mechi namba 184 kati ya Yanga na Simba haitarushwa.
HahahaaaSasa watamrusha mguto, karia, kasongo na Simba watakaokuwepo uwanjani au watarusha kitu Gani wakati yanga achezi iyo mechi?