Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,359
- 6,568
Kweli mkuu, nadhani camera zipo mbili humu ndani.Camera moja ndiyo irecord matukio upande wa kushoto kisha igeuke kulia wakati tukio limeshapita
Washa sema uwanja wa Uhuru upo karibu na jeshi hawaruhusu kutumia drone footage,Hili jambo limelalamikiwa sana na sina hakika kama Azam Tv wameshawahi kulitolea ufafanuzi.
Hizi ni siasa mkuu, kwa views zipi mpaka itumike drone kurekod game?Washa sema uwanja wa Uhuru upo karibu na jeshi hawaruhusu kutumia drone footage,
Mbona Mkapa upo karibu na jeshi pia lakini kitu kinaonekana vizuri?!Washa sema uwanja wa Uhuru upo karibu na jeshi hawaruhusu kutumia drone footage,
Hapo wala huitaji drone , ni camera kuiweka juu ya jukwaa kama walivyokua wanafanya ITV zamani ,uwnja wa uhuru ili upate wide shot na ukwepe hizo nguzo za bendera lazima upande juu ya jukwaa uweke cameraWasha sema uwanja wa Uhuru upo karibu na jeshi hawaruhusu kutumia drone footage,
mimi sio mtaalamu wa hayo mambo ila nnacho kumbuka walisema hawaruhusu kutumia drone sababu ya kiusalamaHizi ni siasa mkuu, kwa views zipi mpaka itumike drone kurekod game?
Bahati mbaya sina uelewa wa hayo mamboMbona Mkapa upo karibu na jeshi pia lakini kitu kinaonekana vizuri?!
Drone inarushwa ila unaomba kibali ,mbn ktk Afl tuliona shots za drone ?mimi sio mtaalamu wa hayo mambo ila nnacho kumbuka walisema hawaruhusu kutumia drone sababu ya kiusalama
Kabisa walitakiwa waweke camera juu ya jukwaa ili kupata matukio kwa upana wakeHapo wala huitaji drone , ni camera kuiweka juu ya jukwaa kama walivyokua wanafanya ITV zamani ,uwnja wa uhuru ili upate wide shot na ukwepe hizo nguzo za bendera lazima upande juu ya jukwaa uweke camera
NB ,zile nguzo za benderaa ni lazima ziwepo pale?
Simple like that ,wakibisha waniite , niwaoneshe nilivyokua nafanyaKabisa walitakiwa waweke camera juu ya jukwaa ili kupata matukio kwa upana wake
Hahahahaha,ndio maana nashangaa wanaosema drone hairuhusiwi hapo uhuru, wkt ktk ufunguzi wa AFL picha ya drone ilikwenda mpk kijazi bringe kuleKwahiyo uwanja wa UHURU upo karibu na jeshi ila uwanja wa TAIFA upo mbali na jeshi si ndio?
Walisha litolea ufafanuzi. Pale JWTZ hawataki ziwekwe camera za jukwaani. Sababu ya Kambi yaoMara kadhaa nimekuwa nikifuatilia matangazo yenu mubashara kutoka uwanja wa UHURU na kuangalia angles mnazorikodi mechi kwa camera zenu na kugundua kuwa hazimpi mtazamaji wa matangazo yenu ya mpira katika uwanja wa uhuru uwezo wa kuona mechi vizuri.
Wito wangu kwa kampuni ya AZAM MEDIA ni kuwa muongeze idadi ya camera katika uwanja wa UHURU na pia mjitahidi kuweka camera zitakazorikodi kutoka juu ili tuuone uwanja katika ukubwa wake kama mechi za EPL na ligi nyingine barani ulaya.
Leo hii nadhani idadi ya camera zinazotumika kurecord matangazo mubashara ya mechi kati ya Simba dhidi ya Kagera Sugar hazizidi tatu na hakuna camera ya juu hata moja.