ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Cha msingi Simba atoke huo uwanja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tusisahau pale kuna maeneo ya jeshi..!! Kamera zinawekewa masherti yahusiyo kambi za jeshiCamera moja ndiyo irecord matukio upande wa kushoto kisha igeuke kulia wakati tukio limeshapita
Kwani urefu wa kwenda juu wa uwanja wa Uhuru na Lupaso unafanana?Kwahiyo uwanja wa UHURU upo karibu na jeshi ila uwanja wa TAIFA upo mbali na jeshi si ndio?
Mechi ya leo camera zipo 7Kweli mkuu, nadhani camera zipo mbili humu ndani.
Hovyo sana, tena Bora hapo Uhuru. Mechi za mikoani tena ambazo timu tatu zile hazihusiki ndio balaa. Ni kama wamechoka au wanachukulia poa tu, Kwa ujumla wamepunguza usiriasi.Mara kadhaa nimekuwa nikifuatilia matangazo yenu mubashara kutoka uwanja wa UHURU na kuangalia angles mnazorikodi mechi kwa camera zenu na kugundua kuwa hazimpi mtazamaji wa matangazo yenu ya mpira katika uwanja wa uhuru uwezo wa kuona mechi vizuri.
Wito wangu kwa kampuni ya AZAM MEDIA ni kuwa muongeze idadi ya camera katika uwanja wa UHURU na pia mjitahidi kuweka camera zitakazorikodi kutoka juu ili tuuone uwanja katika ukubwa wake kama mechi za EPL na ligi nyingine barani ulaya.
Leo hii nadhani idadi ya camera zinazotumika kurecord matangazo mubashara ya mechi kati ya Simba dhidi ya Kagera Sugar hazizidi tatu na hakuna camera ya juu hata moja.
Ila hakuna shots wide ,aerialMechi ya leo camera zipo 7
Na ndio kinawatesa Azam hicho ,shots moja tu ya main camera imeondoa show yote ya mpiraMechi zote zinazochezwa uhuru hawaruhusiwi kuweka main camera juu kwa sababu ya eneo la jeshi kuwa pale, kwahy hata ukashtaki FIFA hakuna hukumu yoyote Azam TV watapewa.
Na ishu ni main camera na sio camera zote, uwanja wa uhuru ukitumia main camera unaona hadi nje ya uwanja ambapo ndio kuna kambi ya jeshi lakini pale kwa mkapa main camera haionyeshi kambi ya jeshi kutokana na location na miundombinu ya uwanja wa mkapa.
Production ya mechi zote duniani ukiondoa wide angle lazima mechi ionekane mbaya ndio maana camera inayoonyesha wide inaitwa main camera au no. 1 camera.Ila hakuna shots wide ,aerial
Yes,Mkuu nalijua hilo vzr sana nimelielezea juu huko , maana uwanja wa uhuru nishawahi fanya production hapo miaka ya nyuma ,main tulikua tunaweka juu , enzi za Tamasha la michezoProduction ya mechi zote duniani ukiondoa wide angle lazima mechi ionekane mbaya ndio maana camera inayoonyesha wide inaitwa main camera au no. 1 camera.
Hata mm jeshi natakaa maana Nishafanya na ITV live hapo Main camera tulifunga juu jukwaaniHili tumeshalisema sana na kwa mtazamo wangu kisingizio cha jeshi bado hakina mashiko kwa sababu kwanza kuna upande ule wa pili wenye jukwaa chakavu wanaweza weka main camera, lakini pia hata upande huo huo wanaoutimia sasa hata wakiweka juu halafu cameraman wakapewa maelekezo kwamba wasipige shoti za nje ya uwanja sioni shida yoyote. Ukikaa juu ukafocus kwenye pitch hauwezi ona nje.
Kibaya zaidi kwenye huo uwanja ni pitch yake. Wachezaji wanacheza kama wanacheza kwenye sakafu, mpira unadundadunda na hatari za majeruhi ni kubwa zaidi na hili pia tumeshalilalamikia sana na leo Benchikha kalisema. Kama Chamazi imeshindikana, Simba ihamie hata Zanzibar kucheza mechi zake zote za nyumbani za NBC.
Unataka kuniambia ukiweka main camera juu ya jukwaa kuu ,utaona jeshi kule mbele ? Means jukwaa halizuii ? Ok halafu ile twalipo iko mbele au kwa nyuma ya uwanja?Hili jambo ni tatizo sugu kwa azam.
Mi nadhani Azam wanafanya kusudi. Yaani hata ukiacha main camera, camera za pembeni walipoziweka zinashindwa kuonyesha offside. Unaona kabisa mechi za Uhuru wanafanya kama kutimiza wajibu tu.Hata mm jeshi natakaa maana Nishafanya na ITV live hapo Main camera tulifunga juu jukwaani