Umegusia mkataba na quality, hii kitu muhimu sana tena sana ,sijui kama walikumbuka ,picha za mechi za simba ktk uwanja wa uhuru zitakua zinaboa tu kutazma ,huoni maumbo ya mfumo wa timuMi nadhani Azam wanafanya kusudi. Yaani hata ukiacha main camera, camera za pembeni walipoziweka zinashindwa kuonyesha offside. Unaona kabisa mechi za Uhuru wanafanya kama kutimiza wajibu tu.
Sijui mkataba unasemaje kwenye haki za timu mwenyeji kuhakikisha na kudai matangazo yake yana quality maana hata kama timu haipati kitu, inaathiri kwenye kuweka kumbukumbu nzuri za mechi zake.
Binafsi hili suala nimewahi kulipigia kelele sana, angalia post hizo chini. Nadhani kuna namna ambayo kitengo cha habari cha Simba kinatakiwa kuimarishwa zaidi ili moja ya maeneo yao iwe ni kuhakikisha matangazo ya mechi zake ndani ya Azam yana quality nzuri kuanzia kwenye picha, sauti, wachambuzi na watangazaji. Tumekuwa tunasema management ya Simba haina watu wa kutosha kiasi kwamba mambo mengi ikiwemo kama hili wanashindwa kuyafanyia kazi.Umegusia mkataba na quality, hii kitu muhimu sana tena sana ,sijui kama walikumbuka ,picha za mechi za simba ktk uwanja wa uhuru zitakua zinaboa tu kutazma ,huoni maumbo ya mfumo wa timu
Jana nilipokuwa nafuatilia gemu ya Yanga, nilikuwa nasikia mahaba ya kupitiliza kwa timu ya Yanga kutoka kwa mtangazaji Baraka Mpenja na hii siyo mara ya kwanza kuliona hili.
Jana alikuwa anatoa kauli kama "upande wa pili nao watakuwa wakienda chooni wanasema Yanga kweli anapiga mpira mwingi" na kauli aliyokuwa anairudia mara nyingi ni "huu ni mpira wa kitabuni, siyo mpira wa papatu papatu". Ulikuwa unawalenga kina nani kwa kauli hizo?
Viongozi wa Simba nao waamke, hali iliyokuwepo msimu uliopita ya kuishi kinyonge haitaifikisha hii timu popote. Karibia media zote sasa hivi ziko kwenye payroll ili kuichafua Simba. Mnaweza kuyaona haya mambo ni madogo ila media ina nguvu sana inaweza kuupamba uongo hadi ukaonekana kweli.
Azam kiujumla ni kama wamekuwa na bifu na Simba ndiyo maana wanasimba wengi wanafurahi mnapofanya vibaya. Uwanjani mnaikamia Simba halafu Yanga wanajipigia wanavyotaka.
Mechi zinazochezwa uwanja wa Uhuru hawafanyi coverage nzuri, Camera ya muhimu inawekwa chini na muda wote unaona kwanza mabenchi na nguzo kabla haujawaona wachezaji waliopo uwanjani. Mechi za mikoani hawaweki camera za kuonyesha offside, matokeo yake minong'ono kuwa Simba inabebwa na marefa inakuwa na nguvu bila ushahidi wa kutosha. Inabidi wawepo watu ndani ya Simba kuhakikisha mechi zake hasa zile za nyumbani zinatangazwa ipasavyo.
Kwa ujinga huu ndiyo maana wengine ikifika makundi tu ya CAF tunaswitch DSTV. Watangazaji wa nje wanatoa facts siyo mahaba binafsi na pia hawatangazi mpira kama wako redioni.
Nimemaliza.
Hivi kwa nini kwenye uwanja wa Uhuru Azam wasiwe wanaweka camera zao upande ule wa pili? Upande wanaoweka camera ziko chini sana.
Wapi nimesema hivyo? Watangaze na waonyeshe mpira kwa weledi. Mechi za uwanja wa Uhuru mpira hautazamiki huwa tunajilazimisha tu
hatuwezi kuupakaNje ya mada kwani huo uwanja hawawezi kuupaka rangi majukwaa?
Kwani kuna umbali gani kutoka uhuru hadi kwa mkapa? Pale uhuru hakuna sehemu ya kukaa mpiga picha kutokana na jukwaa kuu lilivyoWasha sema uwanja wa Uhuru upo karibu na jeshi hawaruhusu kutumia drone footage,
Mm naona kabla ya kusema wanafanya kusudi em jiulize n kwann iwe n kwenye uwanja wa uhuru tuu, je kuna kitu wanafaidika wakifanya hvy.? Jibu n hapana, Mm nadhani wakulaumiwa n jeshi pale mana eneo lake halionekani kwa ukubwa hvy mpaka kusababisha Production ya mechi kuwa mbaya.Mi nadhani Azam wanafanya kusudi. Yaani hata ukiacha main camera, camera za pembeni walipoziweka zinashindwa kuonyesha offside. Unaona kabisa mechi za Uhuru wanafanya kama kutimiza wajibu tu.
Sijui mkataba unasemaje kwenye haki za timu mwenyeji kuhakikisha na kudai matangazo yake yana quality maana hata kama timu haipati kitu, inaathiri kwenye kuweka kumbukumbu nzuri za mechi zake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilitaka niulize piaKwahiyo uwanja wa UHURU upo karibu na jeshi ila uwanja wa TAIFA upo mbali na jeshi si ndio?
Mimi sijasema camera za offside ndiyo zitumike kama main camera. Camera za pembeni zilikuwepo kwa ajili ya kuchukua matukio ya pembeni ikiwemo offside ila kuna tukio moja ambalo Mohammed Hussein aliitiwa offside, camera haikuwa positioned kulichukua kwa usahihi hadi mtangazaji naye akashangaa maana katika marudio, mwanzo camera ilikata eneo ambalo isingeweza kuonyesha hiyo offside ilipo, ila ilipokuja kusogea ikaonyesha MH alipokuwa bado kuna wachezaji wengine wa Kagera upande wa goli lao na kuifanya ile kutokuwa offside. Mtangazaji akabaki kuguna tu. Ndiyo maana wengine tunapata tafsiri kuwa kuna ulipuaji wa kazi maana kama ni mfuatiliaji utajua production uwanja wa uhuru inakuwaga chini kwa maeneo mengi.Mm naona kabla ya kusema wanafanya kusudi em jiulize n kwann iwe n kwenye uwanja wa uhuru tuu, je kuna kitu wanafaidika wakifanya hvy.? Jibu n hapana, Mm nadhani wakulaumiwa n jeshi pale mana eneo lake halionekani kwa ukubwa hvy mpaka kusababisha Production ya mechi kuwa mbaya.
Kingine naona umezngumzia camera za offside, bila shaka kama unajua maana ya camera ya offside bc unajua umuhimu wa main camera, daima popote pale duniani kwenye Production ya mpira huwezi kutumia offside camera kuwa main camera.
Mm n camera operator Na Najua production Namna zinazofanywa, binafsi hua nikiangalia video yoyote ile hua naangalia pia kwa jicho la camera operator.Mimi sijasema camera za offside ndiyo zitumike kama main camera. Camera za pembeni zilikuwepo kwa ajili ya kuchukua matukio ya pembeni ikiwemo offside ila kuna tukio moja ambalo Mohammed Hussein aliitiwa offside, camera haikuwa positioned kulichukua kwa usahihi hadi mtangazaji naye akashangaa maana katika marudio, mwanzo camera ilikata eneo ambalo isingeweza kuonyesha hiyo offside ilipo, ila ilipokuja kusogea ikaonyesha MH alipokuwa bado kuna wachezaji wengine wa Kagera upande wa goli lao na kuifanya ile kutokuwa offside. Mtangazaji akabaki kuguna tu. Ndiyo maana wengine tunapata tafsiri kuwa kuna ulipuaji wa kazi maana kama ni mfuatiliaji utajua production uwanja wa uhuru inakuwaga chini kwa maeneo mengi.
Vilevile narudia kusema, vipi wakiamua kuweka main camera upande huu wa pili wenye jukwaa chakavu, au na huku wamekatazwa maana huku ukikaa kwenye ngazi za juu kabisa nadhani kwanza unakuwa juu zaidi halafu unakuwa hauna makorokoro mengine kama nguzo za bendera zinazoziba camera.
View attachment 2843650
Ila vilevile kuna sababu nyingi za kutotumia huo uwanja, hilo la camera ni mojawapo tu. Ona mabenchi ya ufundi, yaani unamlipa kocha milioni 80 kuja kumkalisha sehemu kama hii?
View attachment 2843649
Kuna production nyingi za mpira ambazo camera kuu inaweza kuangalia hiyo unaita lango kuu huku ikiangalia mabenchi ya wachezaji na hii ni kuanzia Ulaya hadi hapa Africa. Kuangalia lango kuu hakuna umuhimu wowote katika production. Camera za mechi hata ziwe nyingi kiasi gani, zile muhimu zinazoonyesha muendelezo wa mechi zinatakiwa kuwa nyuzi 180 na siyo 360. Camera za ziada nje ya hapo zinatumika kuonyesha matukio mengine ya ndani au nje ya uwanja lakini siyo ya muendelezo wa mechi.Mm n camera operator Na Najua production Namna zinazofanywa, binafsi hua nikiangalia video yoyote ile hua naangalia pia kwa jicho la camera operator.
Sasa ukiangalia production zote za mpira kote duniani zinazofanywa utagundua kuwa Main camera zote zinakuwa upande wa lango kuu wa wachezaji wanapoingilia (Main Gate) Na Kwenye production zote za mpira main camera hua ni mbili zinazofanya kazi tofauti ambazo ndio hizo lazima ziwe upande wa lango kuu, kwa wenzetu hua na camera nyingi ambazo zinaweza kuwa kwenye mzunguko wote wa uwanja yani nyuzi 360 za uwanja na zote zikatumika lkn bado main camera zile mbili ni lazima utazikuta zipo upande wa lango kuu na asilimia 80 ya camera zote bado zitakuwa upande wa main gate (kombe la dunia la 2022 kuna mahali nilisoma wanasema kulikuwa na camera 33,sina uhakika π)
Nadhani wanafanya hv ili kuziba pengo la ule lango kuu na kuacha mashabiki ndio waonekane na ndio mana kwenye main camera ni lazima utaona na mashabiki.
Hivyo haiwezekani camera kuwa upande wa Jukwaa kule kulikochakaa, ila serikali nao dah yani kweli wanashindwa kupiga rangi uwanja π
Nimejibu kulingana na experience yangu kama camera operator