Azam Media waomba Radhi kwa wadau wa mpira kwa kurusha interview ya Mahojiano na aliyekua mchezaji wa Yanga Sc Fiston kalala Mayele

Azam Media waomba Radhi kwa wadau wa mpira kwa kurusha interview ya Mahojiano na aliyekua mchezaji wa Yanga Sc Fiston kalala Mayele

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Azam media wameomba Radhi mashabiki, uongozi wa Yanga Sc na wadau kwa ujumla.

---
Azam Media Limited imepokea mrejesho kuhusu mahojiano yetu na Fiston Mayele, aliyewahi kuwa mchezaji wa Young Africans Sports Club.

Tumejiridhisha kuwa Young Africans Sports Club haikupewa nafasi ya kujibu hoja. Kutokana na hilo, tunaomba radhi kwa viongozi, wachezaji na mashabiki wa Young Africans Sports Club.

Tayari hatua zimechukuliwa kuhakikisha kuwa maudhui yetu yanaendelea kuzingatia viwango vinavyotarajiwa.

Uongozi

Pia Soma:
- Azam TV jitokezeeni hadharani Muwaombe radhi viongozi wa Yanga Sc, mashabiki na wadau wa mpira kwa interview ya Fiston Mayele mliyoiyoifuta
1712936408938.jpg
 
Hata wewe ndo ungekua in charge pale Azam.... Ungefanya kile walichofanya Azam, by fire by force....!

Yanga ni zaidi ya Sport Club.
 
Wewe lazima ni kolo.

Umewahi kujua a b c za uandishi wa habari? Umewahi kusikia ku balance story?
 
Back
Top Bottom