Azam Media waomba Radhi kwa wadau wa mpira kwa kurusha interview ya Mahojiano na aliyekua mchezaji wa Yanga Sc Fiston kalala Mayele

Sasa hiyo radhi mnayoiomba itasaidia nini na wakati tayari walishajionesha wao ni vilaza!!

Mnaruhusu mtu aongee utumbo, halafu mnaurusha huo utumbo kama ulivyo!! Kama siyo kukosa weredi kwenye tasnia ya habari ni nini huku!!

Halafu nilikuwa namuona Fiston Mayele kama mchezaji professional! Kumbe ni kopo tu.
 
MAYELE NI SAWA NA DEBE TUPU MKUU.
 
Kwanini baada ya hapo Uto wasingekuja kujibu. Kulikuwa na ulazima gani kufuta?
Yaani yanga taasisi kubwa ije imjibu Mayele tuhuma za kumroga na upumbavu eti majini

Kama mayele ni professional aende CAS alalamike kama wenzake akina Bigrimana
Walishtak wakashinda haki yao na wakapewa hatujawahi kusikia wakiichafua yanga licha ya kuwa na madai ya msingi
 
NAKAZIA
 
Azam wamefunga comments ili wasikutane na matusi ya mashabiki wa Yanga Sc [emoji16]
Screenshot_20240412-225715.jpg
 
Back
Top Bottom