Azam Media waomba Radhi kwa wadau wa mpira kwa kurusha interview ya Mahojiano na aliyekua mchezaji wa Yanga Sc Fiston kalala Mayele

Azam Media waomba Radhi kwa wadau wa mpira kwa kurusha interview ya Mahojiano na aliyekua mchezaji wa Yanga Sc Fiston kalala Mayele

itoshe kusema Azam Media walikurupuka

sijasoma uandishi wa habari ila kwenye Habari tata kama hiyo kubalance story ni lazima, sio kuegemea upande mmoja tu..utaonekana mbaguzi unapendelea upande mmoja..bias
 
Sasa competitors (Watani) wa uto tumejua wamefika watatu,
1. Simba,
2. Motsepe Mamelodi
3. Chamazi,

na hili ni tukio la pili la chamazi kujaribu kuishusha Yanga, tukio la kwanza ni goli la offside la Fei hapa sasa tumejua halikuwa goli la bahati mbaya ina maana chamazi ilipanga kuidhoofisha Yanga kwa kuishusha points wakiamini watachukua ubingwa msimu huu inaonesha ndio lengo lao mama, na tukio hili la pili la Mayele kuiponda Yanga lengo ni kushusha Brand ya Yanga maana Yanga iko on fire 🔥 now!! Chamazi wamepoteza mvuto wanataka kusafiri kwa nyota ya Yanga.

Hapa msamaha hamna chamazi walipe fidia tu kukiuka taaluma ya habari , hizi ni njama hazipaswi kuachiwa, wakiachwa wataendelea na tukio jingine baya zaidi, wasichojua chamazi Mayele kawachota akili baada ya kuflop Pyramid mpira umebuma na Yanga hawezi kurudi sasa anataka arudi bongo, iwe simba au chamazi kwa mpunga mrefu ndo maana anakandia Yanga.

Chamazi lazima wawe waungwana wafike jangwani physically kuomba radhi na kulipa faini na si kuishia kuposti barua mtandaoni huo si uungwana!! Wabongo huwa na vinyongo na nongwa sana usipopatia namna ya kuomba msamaha!!
 
itoshe kusema Azam Media walikurupuka

sijasoma uandishi wa habari ila kwenye Habari tata kama hiyo kubalance story ni lazima, sio kuegemea upande mmoja tu..utaonekana mbaguzi unapendelea upande mmoja..bias
KWELI KABISA MKUU
 
Sasa competitors (Watani) wa uto tumejua wamefika watatu,
1. Simba,
2. Motsepe Mamelodi
3. Chamazi,

na hili ni tukio la pili la chamazi kujaribu kuishusha Yanga, tukio la kwanza ni goli la offside la Fei hapa sasa tumejua halikuwa goli la bahati mbaya ina maana chamazi ilipanga kuidhoofisha Yanga kwa kuishusha points wakiamini watachukua ubingwa msimu huu inaonesha ndio lengo lao mama, na tukio hili la pili la Mayele kuiponda Yanga lengo ni kushusha Brand ya Yanga maana Yanga iko on fire [emoji91] now!! Chamazi wamepoteza mvuto wanataka kusafiri kwa nyota ya Yanga.

Hapa msamaha hamna chamazi walipe fidia tu kukiuka taaluma ya habari , hizi ni njama hazipaswi kuachiwa, wakiachwa wataendelea na tukio jingine baya zaidi, wasichojua chamazi Mayele kawachota akili baada ya kuflop Pyramid mpira umebuma na Yanga hawezi kurudi sasa anataka arudi bongo, iwe simba au chamazi kwa mpunga mrefu ndo maana anakandia Yanga
NGOJA WAJICHANGANYE KUMSAJILI.
 
Back
Top Bottom