Azam media wapo biased sana kwenye matangazo yao, kila siku ni marudio ya Highlights za Feisal tu

Azam media wapo biased sana kwenye matangazo yao, kila siku ni marudio ya Highlights za Feisal tu

Hii media ni unprofessional sana ndiyo maana hii media bado nina mashaka nayo kama wataonyesha World cup 2026 maana washawahi kutudanganya kwenye Mwaka 2022 kule Qatar.
Naamini jibu unalo sasa,azam sio media ya mchezomchezo.Uwekezaji wake ni mkubwa mno,kwa sasa wapo nchi 7 na muda mchache ujao wataonesha ligi kuu ya uingereza.Kuhusu kwamba wapo biased ni wazi wewe huangalii vipindi vyao kikamilifu,wanaonesha kila kitu,kila timu,kila mchezaji anafanya mambo makubwa uwanjani.Bro achana na azam hawana mpinzani afrika mashariki na afrika ya kati,na sehemu ya afrika ya kusini
 
Hii media ni unprofessional sana ndiyo maana bado nina mashaka kama kweli wataonyesha World cup 2026, maana washawahi kutudanganya Mwaka 2022 kule Qatar.
Sasa Feisal si mchezaji wao? Huenda wanampromote ili waje kumuuza kwa DAU kubwa.

Ni kama TBC wanavyoipromote SISIEMU na sirikali yao ya WAHUNI.

Hata wewe ukianzisha Channel yako lazima utakuwa na vipaumbele vyako na kuna baadhi ya watu watasema vile vile unapendelea.
 
Nisamehe kaka, nimekufananisha.
Nimekusamehe,sasa tujitahidi kuwa wakweli,kuonesha mechi 104 za kombe la dunia kwa lugha 2 sio mchezo,mkwanja wake ni mrefu mno.Azam wamelipa huo mkwanja wame line up orodha ndefu ya watangazaji na wachambuzi ndefu,hiyo nayo ni fedha,hivi sasa studio zinafanyiwa ukarabati mkubwa sana kwa ajili hiyo,hiyo ni fedha pia.Mechi zote watazionesha kwa gharama ile ile ya 29,000,hakuna chombo cha habari kilichopo Afrika mashariki na kati kinachoweza kuonesha mechi 104 kwa gharama ileile.Wanastahili sifa sio kupondwa
 
Nimekusanehe,sasa tujitahidi kuwa wakweli,kuonesha mechi 104 za kombe la dunia kwa lugha 2 sio mchezo,mkwanja wake ni mrefu mno.Azam wamelipa huo mkwanja wame line up orodha ndefu ya watangazaji na wachambuzi ndefu,hiyo nayo ni fedha,hivi sasa studio zinafanyiwa ukarabati mkubwa sana kwa ajili hiyo,hiyo ni fedha pia.Mechi zote watazionesha kwa gharama ile ile ya 29,000,hakuna chombo cha habari kilichopo Afrika mashariki na kati kinachoweza kuonesha mechi 104 kwa gharama ileile.Wanastahili sifa sio kupondwa
Lazima tuwapongeze Azam, kwani tangu kuanzishwa kwake uhondo wa burudani tumekuwa tukiupata kwa gharama nafuu na wakati mwingine bure kabisa.

Sasa wafanye Kila wawezalo EPL iiruke watu tupate ku-enjoy.
 
Yes,gharama za kuonesha epl ni kubwa mno,na kwa idadi ya subscribers wa azam haitalipa kuonesha kwa 29,000.Hivyo ni lazima waongeze idadi ya subscribers,kuonesha mechi za kombe la dunia ni mkakati mmojawapo.Mie I wish them all the best na hakika watafaulu.
 
Nawatakia kila la heri Azam katika maandalizi ya kuonesha mechi zote za kombe la dunia.
 
Back
Top Bottom