Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 1,849
- 3,506
Wewe huna akili kichwani, mambo ya ulaya wewe yanakuhusu nini?Sijui ni nini mnachotaka ku-demostrate kwa miaka hii yote ya kuwalisha watu masizoni ya ottoman.
Ina maana burudani na historia inayopaswa kuonwa na watanzania ni ya jinsi gani sijui waserjouk walivyo vamia kila kona na kuwabadirisha traditions zao.
Najua mtaanza na stori za kutengeneza kuwa watu ndio wanazitaka, please stop, mna maana yenu maalum kwa nini mnazionesha na hata sisi tushawashtukia.
Ebu mizani i - balance, kuna tamthilia nyingi za historia za empire nyingi haiwezekani eti ya ottoman ndio iwe jadi.
too much double standard
Wewe huna akili kichwani, mambo ya ulaya wewe yanakuhusu nini?
Ukiletewa crusade war utatamani kujiita mkristo?
Tatzo tamthilia zenu zina sex scene..Sijui ni nini mnachotaka ku-demostrate kwa miaka hii yote ya kuwalisha watu masizoni ya ottoman.
Ina maana burudani na historia inayopaswa kuonwa na watanzania ni ya jinsi gani sijui waserjouk walivyo vamia kila kona na kuwabadirisha traditions zao.
Najua mtaanza na stori za kutengeneza kuwa watu ndio wanazitaka, please stop, mna maana yenu maalum kwa nini mnazionesha na hata sisi tushawashtukia.
Ebu mizani i - balance, kuna tamthilia nyingi za historia za empire nyingi haiwezekani eti ya ottoman ndio iwe jadi.
too much double standard
Mkuu mbona huwa wanatutakia Krismasi njema?. Mi sioni shidošSijui ni nini mnachotaka ku-demostrate kwa miaka hii yote ya kuwalisha watu masizoni ya ottoman.
Ina maana burudani na historia inayopaswa kuonwa na watanzania ni ya jinsi gani sijui waserjouk walivyovamia kila kona na kuwabadirisha traditions zao.
Najua mtaanza na stori za kutengeneza kuwa watu ndio wanazitaka, please stop, mna maana yenu maalum kwa nini mnazionesha na hata sisi tushawashtukia.
Ebu mizani i - balance, kuna tamthilia nyingi za historia za empire nyingi haiwezekani eti ya ottoman ndio iwe jadi.
too much double standard
Mwasi Kitokotoo much double standard
tena kama iliyopita waliisherehesha vibaya mnoMkuu mbona huwa wanatutakia Krismasi njema?. Mi sioni shidoš
Sisi si ndo wateja!? Sasa tunazitaka na zile tunazizitamani, wasitupangie cha kutuoneshaDunia ipo kiganjani mwako una uhuru wa kuangalia chochote unachotaka, kulazimisha azam wakuwekee tamthilia unazotaka ni ka ukichaa hivi.
NB: sina TV
sisi!, we na nani?. Sema "mimi"Sisi si ndo wateja!? Sasa tunazitaka na zile tunazizitamani, wasitupangie cha kutuonesha
Wateja na wao wanataka wawekewe za roman empireunakuta hiyo ndo ina ratings nzuri, kwahiyo wana uhakika itapendwa sana na watu
Kawaombea mama zake na dada zakeMwanaume unaangaliaje tamthiliya
Roman empireā¦spartacus nayo ni roman empireWateja na wao wanataka wawekewe za roman empire