Azam mkimalizana na matamthilia yenu ya Ottoman mtuwekee na za historia ya Roman, Byzantine, Macedonia ya Alexander, tofauti na hapo mna jambo lenu

Financial Analyst

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2017
Posts
1,849
Reaction score
3,506
Sijui ni nini mnachotaka ku-demostrate kwa miaka hii yote ya kuwalisha watu masizoni ya ottoman.

Ina maana burudani na historia inayopaswa kuonwa na watanzania ni ya jinsi gani sijui waserjouk walivyovamia kila kona na kuwabadirisha watu traditions zao.

Najua mtaanza na stori za kutengeneza kuwa watu ndio wanazitaka, please stop, mna maana yenu maalum kwa nini mnazionesha na hata sisi tushawashtukia.

Ebu mizani i - balance, kuna tamthilia nyingi za historia za empire nyingi haiwezekani eti ya ottoman ndio iwe jadi.

too much double standard
 
Bongo tunashida ya kutokuwa wavumiliaji kwa maswala madogo.

Sio kila kitu utakipata kwa namna utakavyo wewe. Yule ni Shekhe Kaweka channel za kidini pia za kikristo( hadi hapo kajitahidi) Basi Fatilia humo utapata unachohitaji.

Hayo ma Tamthilia sio lazima kuyafatilia, au fatilia ambazo unaona hutakereka.

Pia kuna Ving'amuzi vingine kama unaona hao Azam wanakukera nunua vingine ambao tamthilia unazotaka utazipata(wakati wanunua bidhaa lazima ujue matumizi yake).

Mambo mengine msitafute mijadala isio rasmi wakati una uhuru wa kununua Azam au Startimes au Zuku au DSTV
 
Sijui ni nini mnachotaka ku-demostrate kwa miaka hii yote ya kuwalisha watu masizoni ya ottoman.

Ina maana burudani na historia inayopaswa kuonwa na watanzania ni ya jinsi gani sijui waserjouk walivyo vamia kila kona na kuwabadirisha traditions zao.

Najua mtaanza na stori za kutengeneza kuwa watu ndio wanazitaka, please stop, mna maana yenu maalum kwa nini mnazionesha na hata sisi tushawashtukia.

Ebu mizani i - balance, kuna tamthilia nyingi za historia za empire nyingi haiwezekani eti ya ottoman ndio iwe jadi.

too much double standard
Wewe huna akili kichwani, mambo ya ulaya wewe yanakuhusu nini?

Ukiletewa crusade war utatamani kujiita mkristo?
 
b5c6d2202d0c83452a4e1f7d33547a26~2.jpg
 
Sijui ni nini mnachotaka ku-demostrate kwa miaka hii yote ya kuwalisha watu masizoni ya ottoman.

Ina maana burudani na historia inayopaswa kuonwa na watanzania ni ya jinsi gani sijui waserjouk walivyo vamia kila kona na kuwabadirisha traditions zao.

Najua mtaanza na stori za kutengeneza kuwa watu ndio wanazitaka, please stop, mna maana yenu maalum kwa nini mnazionesha na hata sisi tushawashtukia.

Ebu mizani i - balance, kuna tamthilia nyingi za historia za empire nyingi haiwezekani eti ya ottoman ndio iwe jadi.

too much double standard
Tatzo tamthilia zenu zina sex scene..
 
Sijui ni nini mnachotaka ku-demostrate kwa miaka hii yote ya kuwalisha watu masizoni ya ottoman.

Ina maana burudani na historia inayopaswa kuonwa na watanzania ni ya jinsi gani sijui waserjouk walivyovamia kila kona na kuwabadirisha traditions zao.

Najua mtaanza na stori za kutengeneza kuwa watu ndio wanazitaka, please stop, mna maana yenu maalum kwa nini mnazionesha na hata sisi tushawashtukia.

Ebu mizani i - balance, kuna tamthilia nyingi za historia za empire nyingi haiwezekani eti ya ottoman ndio iwe jadi.

too much double standard
Mkuu mbona huwa wanatutakia Krismasi njema?. Mi sioni shido😄
 
Dunia ipo kiganjani mwako una uhuru wa kuangalia chochote unachotaka, kulazimisha azam wakuwekee tamthilia unazotaka ni ka ukichaa hivi.

NB: sina TV
Sisi si ndo wateja!? Sasa tunazitaka na zile tunazizitamani, wasitupangie cha kutuonesha
 
Back
Top Bottom