Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 1,849
- 3,506
Sijui ni nini mnachotaka ku-demostrate kwa miaka hii yote ya kuwalisha watu masizoni ya ottoman.
Ina maana burudani na historia inayopaswa kuonwa na watanzania ni ya jinsi gani sijui waserjouk walivyovamia kila kona na kuwabadirisha watu traditions zao.
Najua mtaanza na stori za kutengeneza kuwa watu ndio wanazitaka, please stop, mna maana yenu maalum kwa nini mnazionesha na hata sisi tushawashtukia.
Ebu mizani i - balance, kuna tamthilia nyingi za historia za empire nyingi haiwezekani eti ya ottoman ndio iwe jadi.
too much double standard