Azam mkimalizana na matamthilia yenu ya Ottoman mtuwekee na za historia ya Roman, Byzantine, Macedonia ya Alexander, tofauti na hapo mna jambo lenu

Kwahio mdau amefanya market research ya wateja wake wanataka nini na anachowalisha kulingana na biashara yake wewe unampangia cha kufanya ? Unajua na hizo program anunua na kuonyesha na sio tu kama wewe unavyoweza kuzidownload Youtube ?!!

Ushauri wewe kama mteja waombe wafanye hivyo na watafanya kama wataona ina faida kwao na sio kuwashurutisha..., na ukiona hupati unachotaka unaweza ku cancel subscription.
 
Reactions: Tui
Azam ni wabaguzi kwa misingi ya kidini. Hata ajira zao wanazitoa kwa musingi ya udini. Udini umewajaa kila kona.
 
Sisi si ndo wateja!? Sasa tunazitaka na zile tunazizitamani, wasitupangie cha kutuonesha
Huwa unawapangia na TBC,Star Tv,BBC na CNN cha kuonyesha?Au wewe ni mteja unayetaka ku dictate kinachoonyeshwa Azam TV.
Shirikisha akili unapotoa hoja ili kuficha ujinga wako.
 
Aisee mwenyekiti mbona atakuwa busy Sana?. Hili suala lipo kwenye Katiba ya Chama?🤣🤣🤣🤣
Hahahaha Halipo lakini pia haluvunji Katiba ya Chama!

Nimemtumia ujumbe kuhusu hili swala amesema atashungulika nalooo

😂
 
Nchi ngumu sana kama hizo tamthilia huzitaka si kuna channel nyingine angalia vitu vingine
 
Chanel zipo zaid ya 400 hiyo azam two achana nayo labda kama umelipia uangalie azam two tu[emoji849]
 
Bora ww umeliona hili,,, hizo tamthilia zina chembe kubwa ya udini...hilli ni jambo hatari sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…