StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 4,153
- 4,301
Kabisa,mambo madogo haya🤣tena kama iliyopita waliisherehesha vibaya mno
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa,mambo madogo haya🤣tena kama iliyopita waliisherehesha vibaya mno
Hizo hizo ila sio zile za ngono maana kuna ile Cleopatra daah sio poa anatombwa mule mpaka basiRoman empire…spartacus nayo ni roman empire
Aisee mwenyekiti mbona atakuwa busy Sana?. Hili suala lipo kwenye Katiba ya Chama?🤣🤣🤣🤣Mwenyekiti Lissu Atalishungulikia hili
Usijalii
Hizo labda Vatican huko🤣🤣🤣🤣🤣Wateja na wao wanataka wawekewe za roman empire
Azam ni wabaguzi kwa misingi ya kidini. Hata ajira zao wanazitoa kwa musingi ya udini. Udini umewajaa kila kona.Sijui ni nini mnachotaka ku-demostrate kwa miaka hii yote ya kuwalisha watu masizoni ya ottoman.
Ina maana burudani na historia inayopaswa kuonwa na watanzania ni ya jinsi gani sijui waserjouk walivyovamia kila kona na kuwabadirisha traditions zao.
Najua mtaanza na stori za kutengeneza kuwa watu ndio wanazitaka, please stop, mna maana yenu maalum kwa nini mnazionesha na hata sisi tushawashtukia.
Ebu mizani i - balance, kuna tamthilia nyingi za historia za empire nyingi haiwezekani eti ya ottoman ndio iwe jadi.
too much double standard
Wateja hawana diniHizo labda Vatican huko🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣 ndo mleta uzi anachotaka hicho…Hizo hizo ila sio zile za ngono maana kuna ile Cleopatra daah sio poa anatombwa mule mpaka basi
Hio ya Cleopatra hapana anatombwa sana mule🤣🤣🤣 ndo mleta uzi anachotaka hicho…
Mleta mada nae hana dini?Wateja hawana dini
Atakua labda anaabudu miziziMleta mada nae hana dini?
Huwa unawapangia na TBC,Star Tv,BBC na CNN cha kuonyesha?Au wewe ni mteja unayetaka ku dictate kinachoonyeshwa Azam TV.Sisi si ndo wateja!? Sasa tunazitaka na zile tunazizitamani, wasitupangie cha kutuonesha
Hahahaha Halipo lakini pia haluvunji Katiba ya Chama!Aisee mwenyekiti mbona atakuwa busy Sana?. Hili suala lipo kwenye Katiba ya Chama?🤣🤣🤣🤣
KwambaAzam ni wabaguzi kwa misingi ya kidini. Hata ajira zao wanazitoa kwa musingi ya udini. Udini umewajaa kila kona
🤣🤣🤣🤣🤣Hahahaha Halipo lakini pia haluvunji Katiba ya Chama!
Nimemtumia ujumbe kuhusu hili swala amesema atashungulika nalooo
😂
HahahahahahahaMwenyekiti Lissu Atalishungulikia hili
Usijalii
Hakika mkuuAzam ni wabaguzi kwa misingi ya kidini. Hata ajira zao wanazitoa kwa musingi ya udini. Udini umewajaa kila kona.
Bora ww umeliona hili,,, hizo tamthilia zina chembe kubwa ya udini...hilli ni jambo hatari sana.Sijui ni nini mnachotaka ku-demostrate kwa miaka hii yote ya kuwalisha watu masizoni ya ottoman.