Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 1,849
- 3,506
- Thread starter
-
- #41
Hakika mkuuBora ww umeliona hili,,, hizo tamthilia zina chembe kubwa ya udini...hilli ni jambo hatari sana.
HahahhhahaMkuu mbona huwa wanatutakia Krismasi njema?. Mi sioni shido😄
Don't take it too serious. Mi nimejifunza hata namna ya kujibu asalamaaleko kupitia hicho unachokifokea🤣Hahahhhaha
Hivi ndivyo wanavyokutakia wakiwa ofisini wana edit mapicha picha
View attachment 3209947
Wapo kimkakati. Hawawezi kuweka hiyo kama hiajatengenezwa na watu tofauti na hapo. Tamthilia za ki historia za kidini Huwa ni za kipropaganda. Mara nyingi huonyesha yule mwaandaaji ndio mwenye nguvuSijui ni nini mnachotaka ku-demostrate kwa miaka hii yote ya kuwalisha watu masizoni ya ottoman.
Ina maana burudani na historia inayopaswa kuonwa na watanzania ni ya jinsi gani sijui waserjouk walivyovamia kila kona na kuwabadirisha watu traditions zao.
Najua mtaanza na stori za kutengeneza kuwa watu ndio wanazitaka, please stop, mna maana yenu maalum kwa nini mnazionesha na hata sisi tushawashtukia.
Ebu mizani i - balance, kuna tamthilia nyingi za historia za empire nyingi haiwezekani eti ya ottoman ndio iwe jadi.
too much double standard
Hill suala udini mbona huwa linaonekana kwa waislam tu?Hakika mkuu
Ila washamba hawataakaa waeleewe
Waisihalamu ni wapumbavu na kama siyo wapumbavu waje wabishe hapa.Sijui ni nini mnachotaka ku-demostrate kwa miaka hii yote ya kuwalisha watu masizoni ya ottoman.
Ina maana burudani na historia inayopaswa kuonwa na watanzania ni ya jinsi gani sijui waserjouk walivyovamia kila kona na kuwabadirisha watu traditions zao.
Najua mtaanza na stori za kutengeneza kuwa watu ndio wanazitaka, please stop, mna maana yenu maalum kwa nini mnazionesha na hata sisi tushawashtukia.
Ebu mizani i - balance, kuna tamthilia nyingi za historia za empire nyingi haiwezekani eti ya ottoman ndio iwe jadi.
too much double standard
Mimi siyo mganga ila wewe ni shabiki la Manchester united, halafu itakuwa umeachika au umegongewa mpenzi wako, pia itakuwa hauna kazi kama mimi mpaka unapata muda wa kutizama hizo makitu,
Kwahiyo mtoa post pamoja na Mimi ndo tunaitwa "Mimi"sisi!, we na nani?. Sema "mimi"
Kwa kuongea hivyo mwenyewe umejiona una akiilii kumbe makamasi tu ya madrasa ndo umeyajaza kichwaniHuwa unawapangia na TBC,Star Tv,BBC na CNN cha kuonyesha?Au wewe ni mteja unayetaka ku dictate kinachoonyeshwa Azam TV.
Shirikisha akili unapotoa hoja ili kuficha ujinga wako.
bull sh!tKwahiyo mtoa post pamoja na Mimi ndo tunaitwa "Mimi"
Acha kukomaa na madrasa tu, elimu Dunia pia muhimu