Azam mkimalizana na matamthilia yenu ya Ottoman mtuwekee na za historia ya Roman, Byzantine, Macedonia ya Alexander, tofauti na hapo mna jambo lenu

Azam mkimalizana na matamthilia yenu ya Ottoman mtuwekee na za historia ya Roman, Byzantine, Macedonia ya Alexander, tofauti na hapo mna jambo lenu

Bora ww umeliona hili,,, hizo tamthilia zina chembe kubwa ya udini...hilli ni jambo hatari sana.
Hakika mkuu

Nakuambia mkuu

Washambaa hawaelewi.

Haiwezekani wamekosa namna nyingi ya burudani yenye itikadi tofauti

Wanajaribu ku-prove nini haswa, kwamba empire ya moslem ilivyosumbua dunia????

Nakwanini haziiishi kila siku ni hzo tu za itikadi moja

🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🤢🤢🤢🤢🤮🤮🤮🤮🤮🤮
 
Mkuu mbona huwa wanatutakia Krismasi njema?. Mi sioni shido😄
Hahahhhaha
Hivi ndivyo wanavyokutakia wakiwa ofisini wana edit mapicha picha
9b01c5f776f6cad876ef98f816a66620~2.jpg
 
Sijui ni nini mnachotaka ku-demostrate kwa miaka hii yote ya kuwalisha watu masizoni ya ottoman.

Ina maana burudani na historia inayopaswa kuonwa na watanzania ni ya jinsi gani sijui waserjouk walivyovamia kila kona na kuwabadirisha watu traditions zao.

Najua mtaanza na stori za kutengeneza kuwa watu ndio wanazitaka, please stop, mna maana yenu maalum kwa nini mnazionesha na hata sisi tushawashtukia.

Ebu mizani i - balance, kuna tamthilia nyingi za historia za empire nyingi haiwezekani eti ya ottoman ndio iwe jadi.

too much double standard
Wapo kimkakati. Hawawezi kuweka hiyo kama hiajatengenezwa na watu tofauti na hapo. Tamthilia za ki historia za kidini Huwa ni za kipropaganda. Mara nyingi huonyesha yule mwaandaaji ndio mwenye nguvu
 
Hakika mkuu

Ila washamba hawataakaa waeleewe
Hill suala udini mbona huwa linaonekana kwa waislam tu?
Ebu nitajie wafanyakazi 5 waislam walio ajiliwa ITV au Star TV.
Au nitajie muislam 1 tu aliye ajiliwa kwenye ofisi za jf.
 
Hizi tamthilia zinazoonyesha watu wa dini moja wakipiga mapanga watu wa Imani nyingine haziendani na utamaduni wetu
 
Mimi siyo mganga ila wewe ni shabiki la Manchester united, halafu itakuwa umeachika au umegongewa mpenzi wako, pia itakuwa hauna kazi kama mimi mpaka unapata muda wa kutizama hizo makitu,
 
Sijui ni nini mnachotaka ku-demostrate kwa miaka hii yote ya kuwalisha watu masizoni ya ottoman.

Ina maana burudani na historia inayopaswa kuonwa na watanzania ni ya jinsi gani sijui waserjouk walivyovamia kila kona na kuwabadirisha watu traditions zao.

Najua mtaanza na stori za kutengeneza kuwa watu ndio wanazitaka, please stop, mna maana yenu maalum kwa nini mnazionesha na hata sisi tushawashtukia.

Ebu mizani i - balance, kuna tamthilia nyingi za historia za empire nyingi haiwezekani eti ya ottoman ndio iwe jadi.

too much double standard
Waisihalamu ni wapumbavu na kama siyo wapumbavu waje wabishe hapa.
 
Mimi siyo mganga ila wewe ni shabiki la Manchester united, halafu itakuwa umeachika au umegongewa mpenzi wako, pia itakuwa hauna kazi kama mimi mpaka unapata muda wa kutizama hizo makitu,
934ec8c7a90be75406d61556e2f153e3.jpg

"Mimi siyo mganga ila wewe ni shabiki la Manchester united, halafu itakuwa umeachika au umegongewa mpenzi wako, pia itakuwa hauna kazi kama mimi mpaka unapata muda wa kutizama hizo makitu,"
 
Huwa unawapangia na TBC,Star Tv,BBC na CNN cha kuonyesha?Au wewe ni mteja unayetaka ku dictate kinachoonyeshwa Azam TV.
Shirikisha akili unapotoa hoja ili kuficha ujinga wako.
Kwa kuongea hivyo mwenyewe umejiona una akiilii kumbe makamasi tu ya madrasa ndo umeyajaza kichwani
 
Back
Top Bottom