Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 1,849
- 3,506
- Thread starter
- #41
Hakika mkuuBora ww umeliona hili,,, hizo tamthilia zina chembe kubwa ya udini...hilli ni jambo hatari sana.
Nakuambia mkuu
Washambaa hawaelewi.
Haiwezekani wamekosa namna nyingi ya burudani yenye itikadi tofauti
Wanajaribu ku-prove nini haswa, kwamba empire ya moslem ilivyosumbua dunia????
Nakwanini haziiishi kila siku ni hzo tu za itikadi moja
🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🤢🤢🤢🤢🤮🤮🤮🤮🤮🤮