Azam mlichonga njia mbovu kumpata Feisal, sasa kibao kimewageukia muachieni pia Prince Dube akatafute maisha kwingine!

Kwani ukivunja mkataba wewe kama mchezaji wa timu unapaswa kufanya nini ili uruhusiwe kuondoka?
 
Tukisema Jemadari Said ni Kanjanja anatetewa. Haya ajitokeze atetee maslahi ya Dube aondoke bure Azam maana amechoka maisha ya Chamazi. Huu nao ni uhuni kama uhuni mwingine. Nasubiri Jemadari mtetea Wahuni ajitokeze.
Jemedari kuna wakati kichwa yake inapata moto mara kesho yake inakuwa sawa.
 
Fei alifungua kesi. Dube kafungua?
Hicho ndicho kinacho fuata......Nilivyo viongea kwenye huu uzi,ndivyo vimetokea japo ulisema ni hisia.Hata hiko kipo njiani ni swala mda tupo hapa,tutakumbushana.

Ngoja tuendelee na mpira wetu wa kihuni na watu wataendelea kukopi na kupesti.
 
Ili hayo matukio yafanane inatakiwa

1.Dube aweke pesa Azam
2.Azam wazikatae.
3.Azam waendelee kumlipa mshahara.
4. Dube aukatae mshahara na kufunga account.
5. Dube ale ugali na sukari
6. Dube atake mtendaji mkuu aondoke yeye ndo abaki
7. Dube ampigie simu bakhresa asipokee simu yake.
8.Bhakresa amtafute na yeye Dube asuse sababu hakupokea simu zake.
9. Dube ashindwe kesi mara tatu
10. N.k n.k n.k
 
Wewe unazani Bakheresa hajamtafuta,hivi unajua Yusuph usajili anafanya mwenyewe?

Si kapeleka dola laki 150 Azam wamezikataa au.......

Kilicho baki ndicho cha tisa,mda si mrefu.. watapelekana TFF na Azam watakuwa wa kwanza kwenda TFF.

Halafu issue sio kufanana,issue ni uhuni mfano Dube kususia mazoezi na kukaa nyumbani,Fei nae si alifanya hivyo hivyo. Mimi ninacho kizungumzia ni uhuni, ambao utaendelea kufanyika tu.
 
Wewe unazani Bakheresa hajamtafuta,hivi unajua Yusuph usajili anafanya mwenyewe?
Sawa, wewe unafahamu ila Ikishatangazwa rasmi ndo na mm nafahamu.
Si kapeleka dola laki 150 Azam wamezikataa au.......

Kilicho baki ndicho cha tisa,mda si mrefu.. watapelekana TFF na Azam watakuwa wa kwanza kwenda TFF.
Subiri basi wakishaenda. Chukua popcorn kabisa. Kwani una la kupoteza?
Halafu issue sio kufanana,issue ni uhuni mfano Dube kususia mazoezi na kukaa nyumbani,Fei nae si alifanya hivyo hivyo. Mimi ninacho kizungumzia ni uhuni, ambao utaendelea kufanyika tu.
Uhuni watu wanatafuta maslahi? Amekuibia au kukutapeli Tsh ngapi Dube?
 
Sawa, wewe unafahamu ila Ikishatangazwa rasmi ndo na mm nafahamu.

Subiri basi wakishaenda. Chukua popcorn kabisa. Kwani una la kupoteza?

Uhuni watu wanatafuta maslahi? Amekuibia au kukutapeli Tsh ngapi Dube?

Tafuta maslahi kwa taratibu kwa hiyo style ya kususa ya Dube wewe unaona ipo sawa sababu anataka jambo lake analo lijua yy..... Mbape yule Madrid wanamnyatia mda mrefu, ulimuona kususa,ila kaamua kubaki mpaka mkataba wake umeisha kagoma kusaini mkataba mpya na PSG na juzi alitwa mpaka na Rais wa Ufaransa,still kakomaa na msimamo wake wa kwenda Madrid na anacheza kama kawa kwenye club yake na juzi katupia mbili.

Issues mpira wetu tumeacha professionalism tunaendelea na uhuni.

"Subiri basi wakishaenda. Chukua popcorn kabisa. Kwani una la kupoteza?"

Mimi sina cha kupoteza ila uhuni utaendela kwenye mpira wetu,tujiandae na wengine kwani watafanya uhuni huu huu.
 
Huko nje unapopatolea mifano hata ukivunjika fuvu linaungwa, tulia watu watengeneze fedha.
 
Huko nje unapopatolea mifano hata ukivunjika fuvu linaungwa, tulia watu watengeneze fedha.
Si shangai na hata ww najua ushangai sababu ndio mpira wetu kivyetuvyetu.
 
Reactions: Tsh
Kwa nini asiondoke mwisho wa msimu?
Sasa akiondoka sasa hivi ataenda wapi
 
Si shangai na hata ww najua ushangai sababu ndio mpira wetu kivyetuvyetu.
Azam wapo straight, hawajamlazimisha Dube kurudi kambini wanachotaka ni pesa yao.

Habari za uhakika kutoka ndani ya uongozi wa Azam ni kuwa, wamepiga marufuku kwa Dube kuhudhuria mazoezi au kushiriki shughuli zozote za timu hiyo na wanachohitaji ni mchezaji huyo kulipa kiwango wanachohitaji kwa ajili ya kuvunja mkataba wake.
 
Wewe upo wapi kocha alimpigia simu Dube baada ya kuandika ile barua akamwambia atakuja mazoezini, hakutokea then uongozi waemtafuta kwenye simu juzi asubuhi yake akaandika barua ya kuwashukuru kwa kuwa nao.

Na kishaanza kutema shit.

Source: Wasafi Fm.
 
Iyo ishu ni ndogo sana ata wangeweka milioni 900, timu inayomtaka itambeba tu maana iyo pesa aiwezi kutoka kwa mkupuo italipwa kwa installment mpaka iishe ata miaka 3, ni makubaliano Kama ambavyo pesa ya feitoto inavyolipwa na Azam msidhani Azam walilipa ela yote kwa mkupuo Bali wanalipa kwa mafungu kwa muda waliokubaliana
 
Sikia, Point hapa ni viongozi wa Azam hawamtaki Dube arudi kambini, wanataka pesa yao. Yaani straight kama hivyo. Umevunja mkataba tupe chetu.
 
Azam nimependa walivyodeal na hili suala. Hawajataka mlolongo mrefu. Hututaki? Leta pesa, Ondoka. Straight and clear.
 
Sikia, Point hapa ni viongozi wa Azam hawamtaki Dube arudi kambini, wanataka pesa yao. Yaani straight kama hivyo. Umevunja mkataba tupe chetu.
Wewe kama unabisha bisha,ila Dube kapigiwa simu kocha kuwa anamuhitaji mazoezini, Dube hajaonekana ndipo viongozi wakamtafuta na Source nimekiweka kama unabisha endelea kubisha,ila haibadilishi chochote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…