Azam mlichonga njia mbovu kumpata Feisal, sasa kibao kimewageukia muachieni pia Prince Dube akatafute maisha kwingine!

Majuzi aliingia Taifa kucheki mechi ya Yanga na Waarabu. Huyu Yanga wakimpata atasaidia sana, ana uwezo mzuri wa kufunga.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Uto hawakuwa wazi kuwa Fei afuate utaratibu gani au alipe Tsh ngapi. Azam wapo wazi, lipa kiasi hichi uondoke.
Leo mmebadilika ngojea ni tafute thread za zamani,maana kama kuna watu nilibishana nao kuhusu Fei ww ni mmoja wapo.

Yanga wa walikuwa wanataka swala liende kiprofesional. Umeona alicho kifanya Dube,kwanza kaandika barua ya kuomba kuondoka maana baada ya hapo sasa ndipo watakaa mezani na Azam atamwambia ww ili uondoke thamani yako ni kiasi fulani,yaani unaona professionalism imefuatwa.

Ila Fei yy alifanya tofauti,alituma 110m kwenye Acc za Yanga na kuandika barua ya kutaka kuondoka. Nilikuambia utaratibu huo haupo sehemu yyt duniani, bali ulikuwa uhuni ambao nyinyi mliushadadia sababu tu ilikuwa ni Yanga,ila leo mnaongea tofauti.
 
Itajulikana tu mbele ya safari ikikosekana tutamchangia Kama ilivyokuwa kwa feisal alivyochangiwa kwenda fifa
Mbele ya safari lini tena? Tuma hela yako kwa Manara, ameshaanza kuchangisha
 
Kaka mbona kwenye interview ya Hersi Clouds alisema taratibu za kufuata,yaani mpaka hili unataka kuleta ushabiki sababu tu ni swala la Yanga.
 
Utaratibu upi ambao Fei haujui na Yanga hawauesemi?

FEI ALIOMBA MUONGOZO KUWA AFANYE NINI AONDOKE, ALIVYOSHINDWA NDANI AKAENDA NJE KWA JAMBO HILO HILO LA AFANYE NINI AONDOKE NDO RAISI AKAINGILIA.
Alideposit akaambiwa huo si utaratibu. Akauliza utaratibu ni upi ndo makesi yakaanza.
Alipewa option ya kwanza akae mezani na klabu kuongea maslahi yake ili aongeze mkataba,option ya pili kama hataki club inayo mtaka ikae mezani mezani wazungumze thamani ya mchezaji na tena na kumbuka hiki ninacho kuzungumza nilisha zungumza na ww.

Wewe uliona wapi mchezaji akajithaminisha mwenyewe,Dube kaandika barua Azam wamekaa nae na kumwambia club inayokutaka au kama unataka kuondoka tulipe kiasi fulani,hii ndio professionalism.

Je Fei alifanya hivi?
 
Frisal ni mchawi hata molinga aliwahi kutamka haya... Hauwezekani awe na goli 11 mbele ya Dube... Wamwache Dube akapumzuke amechoka kula mikate na juisi ya ukwaju.
 
Mkuu mbona mkataba wa kifo auvunjiki(Jokes).
Pia hakuna mkataba usio na utaratibu wa kuvunjika/kusitishwa/kukoma. Fei hakufuata
Tunarudi nyuma boss. La muhimu Fei na Yanga walipata wanachotaka.
 
Okay, kesi ilienda TFF maamuzi yakatoka nini kifanyike?
 
Azam wapo wazi. Leta pesa uondoke. Hawajaja na mambo ya option tatu za kukubali mshahara mpya, timu inayokutaka ije, rudi kambini malizia mkataba. Unataka kuondoka njoo na Tsh hizi lipa ondoka.
 
Alideposit akaambiwa huo si utaratibu. Akauliza utaratibu ni upi ndo makesi yakaanza.
Mkataba una pande mbili ukitaka kuvunja lazima ushilikishe pande zote ndio maana Dube kaandika barua ya kuomba kuvunja mkataba, Azam FC wana uwezo wa kukubali au kukataa lakini sio Dube aamke akaweke hela kwenye account ya club then aje kusema amevunja mkataba
 
Kwamba uhuni wa kutozingatia mikataba uendelee.
Ngoja tuone mwisho wa hili
Mkuu, Fei alikuzwa na Yanga, bila platform ya Yanga huenda asingekuwa Fei anayetakwa. Lilikuwa ni suala jepesi tu, unataka kuondoka? Leta kiasi hichi kufidia thamani ya mkataba na thamani tuliyokupa kama mchezaji mpaka ukaonekana. Kama Azam walichofanya, Leta kiasi hichi, ONDOKA.
 
Azam wapo wazi. Leta pesa uondoke. Hawajaja na mambo ya option tatu za kukubali mshahara mpya, timu inayokutaka ije, rudi kambini malizia mkataba. Unataka kuondoka njoo na Tsh hizi lipa ondoka.
Ushabadilika wewe si ulisema kwenye comment zako za mwanzo Yanga hawa kutoa option?

Azam wapo wazi sababu baada ya mchezaji kuandika barua,wakamwita na kuongea nae maana kulikuwa na makubaliano.

Je Fei kwa nini hakukaa na Yanga? Mliona Fei kukaa kwao ni sawa,vip Dube nae arudi kwao agomee kucheza Azam?
Fei alijiamulia tu mwenyewe bei yake na kukaa nyumbani, husiongee sababu limetokea Yanga,alicho kifanya Fei ni uhuni, Dube Professionalism.

Kesho inaweza ikawa zamu yako, halafu maneno yako mwenyewe uliyo zungumza kwa Yanga yaka kuadhibu. Uache unafiki sema tuu nipo busy,ningeutafuta uzi ule wakipindi kile cha Fei.
 
Hata Fei aliandika na kuweka hiyo pesa ambayo Yanga hawakuihitaji. Azam wameonyesha kuwa suala la Fei lilikuwa jambo jepesi, ni kumwambia cha kufanya ili avunje mkataba wake. Yanga wao walimwambia,

1. Timu inayokutaka ije.

2. Kubali mshahara mpya.

3. Malizia mkataba wako.

Katika hizi option, hakuna option ya yeye kuvunja mkataba wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…