joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Fei kukosea taratibu unaona sio kesi sababu ni kwetu huku mpira wetu wa hovyo hovyo na taratibu hazifuatwi ila mbele Fei alikuwa anakula ban moja ya maana hata ya kufungiwa nusu msimu.Ila taratibu zingefuata hata zile kesi za TFF zilikuwa zinatosha kumwadhibu Fei kwa ban na fine.Sijaruka swali. Fei kukosea taratibu sio kesi maana ukikosea si unaadhibiwa halafu unapewa njia sahihi? Sasa Alikosea, alipewa miongozo ipi ili aweze kuondoka? Azam wametoa mwongozo wazi, kuwa ili uondoke LETA FEDHA DUBE, TUNATAKA FEDHA.
Unaona Azam imeweka wazi inachokata? Huo ndo ulikuwa wajibu wa Yanga hata kama Fei ni mtukutu. Unasema tu, Fei hataki kukaa mezani na hayupo kambini sasa kama anataka kuondoka tunataka pesa au ndo aondoke au tunamshtaki. Watu wangemgeukia Fei wangemwambia lipa pesa za watu acha utapeli.
Nimekutolea mifano Caisedo yule alionesha nio ya kuondoka,Brighton waliweka dau lao wazi?Sio kwamba mchezaji anataka kuondoka ,then timu uhusika ndio iweke dau in a public,vip kama kuna timu zinamtaka zaidi ya dau hilo.
Ndio maana timu hupenda kuzialika club zinazo mtaka zije mezani (kama mnada) so bado Yanga hawa kukosea sababu walikuwa wapo ndani ya taratibu. Angalia biashara iliyofanyika kwa Mudrik,Caisedo na Rice na walivyopiga hela ndefu....... so Yanga walikuwa wapo sawa.