Ok boss, Fuatilia tena kama una muda wa kupoteza maana hilo suala lilishapita, ukifuatilia mahojiano ya Fei na mwakilishi wake utagundua mengi.
Hapana Azam hawamkomoi wanalinda maslahi ya Club unless Dube akaja na hoja kwanini 750m si sahihi na kiasi gani ni sahihi kulingana na mkataba wake.
Wanasiasa hawaruhusiwi kuingilia mambo ya mpira esp wenye hadhi kubwa kama raisi.
Hata hivyo tunafurahi aliingilia sababu viongozi wa Yanga wangemnyoosha yule kijana.
Inawezekana kabisa vita vya Fei ni kati yake na kiongozi mmoja tu ila sasa kiongozi anapigana kupitia Taasisi yenye watendaji na mashabiki wanaompenda sana.
Umeshawahi kusikia mtu ana tatizo na askari polisi mmoja mwenye nguvu ila kupigana naye lazima alitie doa jeshi la polisi? Unadhani ni rahisi kushinda bila msaada wa mwingine mwenye nguvu?