Azam mlichonga njia mbovu kumpata Feisal, sasa kibao kimewageukia muachieni pia Prince Dube akatafute maisha kwingine!

Azam mlichonga njia mbovu kumpata Feisal, sasa kibao kimewageukia muachieni pia Prince Dube akatafute maisha kwingine!

Wale watetezi waliojitokeza wakati wa Feisal mbona wapo kimya hawasemi lolote?
Kwani Dube hana haki?
Wamuache Dube aondoke tu, kwanza mama yake amepata taarifa kuwa mwanae huyo wanamlisha ugali na sukari na ice cream
 
Feisal alikuwa sahihi, alifanya kulingana na mkataba wake, kuwa akihataji kuvunja alipe dau lake pamoja na mishahara ya miezi mitatu akafanya hivyo.

Kitu TFF walichomkamata ni kuwa wanadai kanuni za kichampionship nimesahau tu kifungu ila nitakiweka.

Ni kuwa hakufuata taratibu ya kuwashirikisha TFF maana wao ndio wana haki ya kusimamia mkataba.

Feisal na wanasheria wake wakarudi mara ya pili na hoja kuwa, "mkataba ukivunjwa ndio umevunjwa hata kama kwa makosa ila kinachotakiwa ni adhabu apewe" na hii ni kadiri ya sheria za FIFA. TFF wakachomoa wakasema kwa mujibu wa sheria hapa bongo lazima TFF ishirikishwe hivyo hawakufuata taratibu, hivyo wafuate taratibu.

Feisal na wanasheria wake wakarudi mara ya tatu, mara hii waliaandika barua kwa TFF kama kanuni inavyoeleza ili wapate kibali cha kuvunja mkataba.

Maajabu wakasema maamuzi washatoa hivyo waende tu CAS

Unaona shida ilipokuwa ?

Pole kaka..

Kwahyo feisal wakat anasain pale yanga TFF walishirikishwa?? Au Prince dube alivyoomba kuondoka Azam TFF kashilikishwa pale??

Ufafanuzi upoje:
Feisal alitaka kuvunja mkataba isivyo halal, ndo maana yanga walienda TFF kupata tafsiri ya kisheria juu mkataba wa Feisali(mkataba uko valid?) pamoja na feisal kupeleka malalamiko ila ikaonekana mkataba uko sawa na njia aliyotumia haikua sahihi...

Upande wa Dube "ameomba" au "kutaka kujua" namna gan ya kuvunja mkataba wake na Azam, hapo TFF hausiki hata kidogo! Ndo maana Azam wakampa tafsiri na namna gan ataweza kuvunja mkataba wake.

Note; Feisal alitaka kuuvunja mkataba bila ya kutaka kupata tafsiri namna ya kuvunja mkataba wake! Huku Dube ameomba kuvunja mkataba yeye na Azam. Ukielewa hapo ndo utajua kwann Dogo hata angeenda CAS ngoma ilikua vile vile
 
Kasome sheria za kichampionship 2021 kanuni ya 74, ndio urejee hapa maana mnaleta mawazo ambayo hayapo.

Nenda google kwanza alafu ndio uje
 
Ilitokea tu how? Tunatoa maoni baada ya kupata taarifa,Yanga walitoa taarifa kuwa Fei hayupo kambini.

Kwa hatua hii huwezi sema unasapoti upande upi ila unachoweza kusema ni kuwa Azam wapo sawa kuweka wazi wanachotaka.

Dube akirespond then unaweza kupima kuwa umsapoti nani.

Let's say mm kwa kuhemka nikasema Dube anaonewa, halafu Azam wakaleta kipengele cha mkataba kinachohalalisha hiyo M750 halafu Dube akalipa. Enhee?
Kuna assumption niliiongea jana,hatimae inaenda kutokea......japo ww ulisema naleta hisia. Fei mlimtetea kususa mkasema anaonewa hana furaha,hya Dube kayarudia ya Fei.
Screenshot_20240306_151246_Instagram.jpg
Screenshot_20240306_151156_Instagram.jpg

Ndio tatizo la kuziacha sheria na taratibu na kukumbatia uhuni, juzi ilikuwa Yanga mkaponda,leo Azam mnamtetea,ila na kwambia kesho mjiandae na nyie.

Uhuni wowote usipo kemewa unatabia ya kujirudia.
 
Kasome sheria za kichampionship 2021 kanuni ya 74, ndio urejee hapa maana mnaleta mawazo ambayo hayapo.

Nenda google kwanza alafu ndio uje

Wewe ndo ulete afu lijadiliwe...suala la feisal mbna lilikua wazi sana, nadhani wewe ndo ulikaza fuvu kutokuelewa sheria au mikataba ya kimpira ikoje. Ok fanya feisali kwl aliweza kuvunja mkataba, kwann haikutokea klabu yoyote kumchukua au kumtangaza wakati alikua huru???

Suala la Dube liko sawa kabisa, ila dogo alikosa watu wazuri wa kumshauri namna ipi nzuri ya kuvunja mkataba. Elewa hili kwenye kichwa chako "Mkataba wa baina ya timu na mchezaji hauvunji bali mnauvunja" weka hyo kwenye akili yako.
 
Dube amechoka kuvaa medali za mapinduzi anataka aje avae medali za ligi kuu, FA na CAF
 
Wewe ndo ulete afu lijadiliwe...suala la feisal mbna lilikua wazi sana, nadhani wewe ndo ulikaza fuvu kutokuelewa sheria au mikataba ya kimpira ikoje. Ok fanya feisali kwl aliweza kuvunja mkataba, kwann haikutokea klabu yoyote kumchukua au kumtangaza wakati alikua huru???

Suala la Dube liko sawa kabisa, ila dogo alikosa watu wazuri wa kumshauri namna ipi nzuri ya kuvunja mkataba. Elewa hili kwenye kichwa chako "Mkataba wa baina ya timu na mchezaji hauvunji bali mnauvunja" weka hyo kwenye akili yako.
Mkuu nenda kagoogle kuhusu unilateral contract termination hata FIFA regulations on the status and transfer of players hiii kitu ipo.

Mbona huelewi
 
Mkuu nenda kagoogle kuhusu unilateral contract termination hata FIFA regulations on the status and transfer of players hiii kitu ipo.

Mbona huelewi

Haina haja ya mimi kusoma huko wakati wewe ndo umeleta hoja hapa! Km una hoja kwenye hzo sheria za FIFA ambazo zilimpa uhalali Feisali kuvunja mkataba leta sasa zijadiliwe sio kukaa na kusema nenda google kasome, hyo haiko sawa.
 
Lakini Azam hawaja mng'ang'ania Dube wamemuambia afuate taratibu za kuvunja mkataba ili awe huru.

Hata Gongowazi walitaka taratibu zifuate sio kupita njia za vichochoroni
 
Kama mkataba wako unasema utafanya kazi masaa 10 kwa mshahara wa laki tano kwa miaka 5 na umeusaini halafu baadae ukagoma na unataka mshahara wa milioni moja tafsiri yake ni nini?
Kuna kitu juzi nilikuambia ukasema naleta hisia,nazani unaona.
20240307_095024.jpg

Uhuni wowote usipo kemewa unatabia ya kujirudia.So kinacho fanyika ni Copy and Paste ya Fei ambacho nyie mlikishangilia kwa na tegemea hata kwa Dube mtashangilia.
 
Haina haja ya mimi kusoma huko wakati wewe ndo umeleta hoja hapa! Km una hoja kwenye hzo sheria za FIFA ambazo zilimpa uhalali Feisali kuvunja mkataba leta sasa zijadiliwe sio kukaa na kusema nenda google kasome, hyo haiko sawa.
Zimeshaletwa humu ndani unataka turudie mara ngapi ? Labda ukienda kutafuta wewe utaamini
 
Ni mchezaji yupi alishafanyaga hicho unachoongelea
Sio mchezaji hata timu inaweza fanya hivyo kama haikutaki, na mchezaji bado timu anaipenda, timu inakuondoa tu muhimu ni kulipa fidia mfano mzuri hawa wa juzi kina sawadogo alilipwa kwenye 700M hivi, ambacho hicho kiwango angekilipa kama angetaka yeye kuvunja mkataba

Neymar pia ni mfano
 
Kuna kitu juzi nilikuambia ukasema naleta hisia,nazani unaona.
View attachment 2926968

Uhuni wowote usipo kemewa unatabia ya kujirudia.So kinacho fanyika ni Copy and Paste ya Fei ambacho nyie mlikishangilia kwa na tegemea hata kwa Dube mtashangilia.
Hahahaha. Embu kunywa maji kwanza. Havifanani kabisa.
 
Back
Top Bottom