Azam mmeweka channel nyingi sana za kidini za akina kuhani Gregory,Koses na Rogatusi

Makonde plateu

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2022
Posts
1,443
Reaction score
3,480
Ama hakika nakerekwa na Azam tv kitendo Chao cha kujaza Channel nyingi za akina kuhani Gregory ama hakika inanikera yaani kama azam wasiponitelekezea hili nitauza king'amuzi cha Azam tv

Sijui kwanini Azam mna udini kiasi hiki mna upendeleo mkubwa kwa hii dini ya makuhani! Acheni hizo
 
Mimi nitawakomalia tu hawa wezi

USSR
 
Ama hakika nakerekwa na Azam tv kitendo Chao cha kujaza Channel nyingi za akina kuhani Gregory ama hakika inanikera yaani kama azam wasiponitelekezea hili nitauza king'amuzi cha Azam tv

Sijui kwanini Azam mna udini kiasi hiki mna upendeleo mkubwa kwa hii dini ya makuhani! Acheni hizo
Uza tu mkuu, kuna wateja wengine wamenunua kingamuzi sababu ya hizo hizo chanel
 
Ama hakika nakerekwa na Azam tv kitendo Chao cha kujaza Channel nyingi za akina kuhani Gregory ama hakika inanikera yaani kama azam wasiponitelekezea hili nitauza king'amuzi cha Azam tv

Sijui kwanini Azam mna udini kiasi hiki mna upendeleo mkubwa kwa hii dini ya makuhani! Acheni hizo
chuki yako itakufanya uugue ugonjwa wa moyo bule,hamia itv kwani umelazimishwa we mtu 1 ukihama unadhani kampuni itayumba ni sawa na kuteka kijiko cha maji baharini
 
Hujapendekeza channel gani unazihitaji badala ya ulizozitaja, ni wasikivu, kwa sasa fungulia TV Imaan
 
Makuhani gani, si useme wamejaza chaneli za kiislam, kama mmilili ni muislam ataweka chaneli za kutukuza dini yake. Kama si mambo ya kibiashara angejaza chaneli zote za kiislam ahubiri uislam. By the way kuna ving'amuzi vingi unaweza kununua king'amuzi kingene kisicho na chaneli hizo nyingi
 
Una uhakika na unacho kinena ? mimi tafiti zangu Azam Tv channel za Kiislamu ni Iman ,Mahaasin na Africa swahili kama sikosei na za Kikiristo zinafika kam Nne hivi , kwa ufupi hakuna upande ambao unazidi mwingine kwa channel zaidi ya mbili hivyo sioni upendeleo wowote ule..
 
Nilisha achana nao hao ma bwegee wafuga ndevu na wavaa kobasi hasa walipoleta upumbavu wa kutafsiri hayo ma series yao ya kifara,Mpaka wake zetu wamekua addicted hawahudumii familia pumb.vu sana hawa rubudani kwa yote
 
Ama hakika nakerekwa na Azam tv kitendo Chao cha kujaza Channel nyingi za akina kuhani Gregory ama hakika inanikera yaani kama azam wasiponitelekezea hili nitauza king'amuzi cha Azam tv

Sijui kwanini Azam mna udini kiasi hiki mna upendeleo mkubwa kwa hii dini ya makuhani! Acheni hizo
Ingeungana tu na TV imaan... hicho king'amuzi huwa nasikia kichefuchefu hata kwa kukiona tu.
 
Mi najuta hakinifurahishi kabisa
Hakuna channel ya kuangalia mule cha ajabu hata kina Mohammed, Yahaya ,Halima, Zainab wanakidiss kiukweli wameshika nafasi ya pili kwa kuchukiwa na mimi kutoka kile cha ki China sasa nakula Fiber watakoma
 
Hao uliwataja ni kina nani?
 
Back
Top Bottom