Azam mmeweka channel nyingi sana za kidini za akina kuhani Gregory,Koses na Rogatusi

Azam mmeweka channel nyingi sana za kidini za akina kuhani Gregory,Koses na Rogatusi

Mtu anayetumia king'amz cha Azam huwa namshangaa, labda wenye vibanda umiza sababu ya mpira .... unakimbilia ving'amz vya hovyo hovyo wakat DSTV ipo
Kuna Wavulana humu wanapenda kuangalia zile tamthiliya zilizo tafsiriwa kwa kiswahili wakikaa na kinadada zao kina Nafaka wakisimuliana
 
Kuna Wavulana humu wanapenda kuangalia zile tamthiliya zilizo tafsiriwa kwa kiswahili wakikaa na kinadada zao kina Nafaka wakisimuliana
Kabisa kuna kidada cha kazi kimeolewa ila kinafanya kazi kwenye nyumba ya jirani kinaitwa mludego kikianza kutazama hizo tamthlia kinasahau hadi kupika kinaishia dundwa na boss wake
 
Kabisa kuna kidada cha kazi kimeolewa ila kinafanya kazi kwenye nyumba ya jirani kinaitwa mludego kikianza kutazama hizo tamthlia kinasahau hadi kupika kinaishia dundwa na boss wake
Huna punch unatoka nje ya mstari, hueleweki unaandika nini nimekupa ushauri wa bure mshirikishe mumeo kabla ya ku comment hapa
 
Huna punch unatoka nje ya mstari, hueleweki unaandika nini nimekupa ushauri wa bure mshirikishe mumeo kabla ya ku comment hapa
Kumbe ulikuwa unachana uwe kama zuchu we dada wa kazi. Fanya kazi upeleke chakula kwa mumeo acha kelele
 
Nikisema makuhani unaelewa? Azam wamejaza Channel nyingi za kikiristo
Mkuu hebu Fanya Kukiangalia Upya tena, kwa maana Channel za Dini Na madhehebu Mbalimbali zipo... Kwa Uharaka kuna Hizi za Kiislamu;
africa tv Swah
Tv Imaan
Zbc 2
Mahaasin TV
Tv Islam
Hizi ni Kwa haraka haraka wakati Upande wa Dini Ya Kikristu na Madhehebu yake kuna Hizi hapa
UPENDO TV KKKT
HOPE CHANNEL YA KISABATO
WRM TV ya Nabii gani sijui
Arise and Shine ya Mwamposa
Tumaini TV Wakatoliki
Nabii TV ya Nabii gani sijui
Haleluya TV
Testimony Tv
Trenet TV ya Efatha Church TZ
Jw Broadcasting ya Mashahidi wa Yehova na Habari za Mnara wa Mlinzi
Joy Gospel TV
Jehova Jire tv
Mzee wa Upako TV
Emannuel Tv ya TB Joshua
Amen TV
Winners Chapel TV
Gospel life
GeorDavie TV huyu Mwamba Ukiokota Bag la Nguo zake sidhani kama zinavalika [emoji3][emoji3][emoji3]


Kiufupi naona Kama Za Kikristo zimezidi hapo Sijaorodhesha zile za Kihindi.

Labda Ungesema AZAM TV imejaa Udini wa Kiislam pengine ningekubaliana nawe kwa maana Tunajionea msimu wa Krismass na pasaka ikifika wana act as if hakuna kitu, ila msimu wa Ramadan na Eid kunanoga. Waache ubaguzi
 
Basi ndiyo hivyo tena[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Azam ni kama maji usipoyanywa utayaoga,usipoyaoga utayanywa na usipoyanywa utachambia,na usipochambia utafulia na usipo fulia utayanawa[emoji108]

Unga,sukari,maji,kisimbuzi,nk


Kwani chanel ya mwamposa haipo kwa kisimbuzi cha azam baba lao???

Au mnataka nini??


Najisemeaga hivi mo dewj,Azam wangekuwa wa dini ile jamani tunge hama nchi wallaj,tungesimangwa kishenzi,
Vp umemwamini huyo mwamposa
 
Nilisha achana nao hao ma bwegee wafuga ndevu na wavaa kobasi hasa walipoleta upumbavu wa kutafsiri hayo ma series yao ya kifara,Mpaka wake zetu wamekua addicted hawahudumii familia pumb.vu sana hawa rubudani kwa yote
Mkuu[emoji23] unatutusi sisi wafuga ndevu ?

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Makuhani gani, si useme wamejaza chaneli za kiislam, kama mmilili ni muislam ataweka chaneli za kutukuza dini yake. Kama si mambo ya kibiashara angejaza chaneli zote za kiislam ahubiri uislam. By the way kuna ving'amuzi vingi unaweza kununua king'amuzi kingene kisicho na chaneli hizo nyingi
wewe uisilam ujui hayo maigizo hayahusiani na dini ya uisilamu chunguza utaona watu wengi wakitazama maigizo hayo kila siku tangu lini watu wakaipenda dini ya uisilamu kiasi hicho?
 
Back
Top Bottom