Makonde plateu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,443
- 3,480
Ama hakika nakerekwa na Azam tv kitendo Chao cha kujaza Channel nyingi za akina kuhani Gregory ama hakika inanikera yaani kama azam wasiponitelekezea hili nitauza king'amuzi cha Azam tv
Sijui kwanini Azam mna udini kiasi hiki mna upendeleo mkubwa kwa hii dini ya makuhani! Acheni hizo
Uza tu mkuu, kuna wateja wengine wamenunua kingamuzi sababu ya hizo hizo chanelAma hakika nakerekwa na Azam tv kitendo Chao cha kujaza Channel nyingi za akina kuhani Gregory ama hakika inanikera yaani kama azam wasiponitelekezea hili nitauza king'amuzi cha Azam tv
Sijui kwanini Azam mna udini kiasi hiki mna upendeleo mkubwa kwa hii dini ya makuhani! Acheni hizo
chuki yako itakufanya uugue ugonjwa wa moyo bule,hamia itv kwani umelazimishwa we mtu 1 ukihama unadhani kampuni itayumba ni sawa na kuteka kijiko cha maji bahariniAma hakika nakerekwa na Azam tv kitendo Chao cha kujaza Channel nyingi za akina kuhani Gregory ama hakika inanikera yaani kama azam wasiponitelekezea hili nitauza king'amuzi cha Azam tv
Sijui kwanini Azam mna udini kiasi hiki mna upendeleo mkubwa kwa hii dini ya makuhani! Acheni hizo
Labda hajajua maana ya hii kauli mbiuBurudani kwa wote
Inasikitisha sana kulalamika wakati kuna options kibao..sasa siuangalie channel nyengne kwani umelazimishwa kuangalia hzo
Una uhakika na unacho kinena ? mimi tafiti zangu Azam Tv channel za Kiislamu ni Iman ,Mahaasin na Africa swahili kama sikosei na za Kikiristo zinafika kam Nne hivi , kwa ufupi hakuna upande ambao unazidi mwingine kwa channel zaidi ya mbili hivyo sioni upendeleo wowote ule..Makuhani gani, si useme wamejaza chaneli za kiislam, kama mmilili ni muislam ataweka chaneli za kutukuza dini yake. Kama si mambo ya kibiashara angejaza chaneli zote za kiislam ahubiri uislam. By the way kuna ving'amuzi vingi unaweza kununua king'amuzi kingene kisicho na chaneli hizo nyingi
Ingeungana tu na TV imaan... hicho king'amuzi huwa nasikia kichefuchefu hata kwa kukiona tu.Ama hakika nakerekwa na Azam tv kitendo Chao cha kujaza Channel nyingi za akina kuhani Gregory ama hakika inanikera yaani kama azam wasiponitelekezea hili nitauza king'amuzi cha Azam tv
Sijui kwanini Azam mna udini kiasi hiki mna upendeleo mkubwa kwa hii dini ya makuhani! Acheni hizo
Hakuna channel ya kuangalia mule cha ajabu hata kina Mohammed, Yahaya ,Halima, Zainab wanakidiss kiukweli wameshika nafasi ya pili kwa kuchukiwa na mimi kutoka kile cha ki China sasa nakula Fiber watakomaMi najuta hakinifurahishi kabisa
Hao uliwataja ni kina nani?Hakuna channel ya kuangalia mule cha ajabu hata kina Mohammed, Yahaya ,Halima, Zainab wanakidiss kiukweli wameshika nafasi ya pili kwa kuchukiwa na mimi kutoka kile cha ki China sasa nakula Fiber watakoma
Eti mi nahisi mchawi at work,!Malalamiko at work..