Azam mmeweka channel nyingi sana za kidini za akina kuhani Gregory,Koses na Rogatusi

Mtu anayetumia king'amz cha Azam huwa namshangaa, labda wenye vibanda umiza sababu ya mpira .... unakimbilia ving'amz vya hovyo hovyo wakat DSTV ipo
Kuna Wavulana humu wanapenda kuangalia zile tamthiliya zilizo tafsiriwa kwa kiswahili wakikaa na kinadada zao kina Nafaka wakisimuliana
 
Kuna Wavulana humu wanapenda kuangalia zile tamthiliya zilizo tafsiriwa kwa kiswahili wakikaa na kinadada zao kina Nafaka wakisimuliana
Kabisa kuna kidada cha kazi kimeolewa ila kinafanya kazi kwenye nyumba ya jirani kinaitwa mludego kikianza kutazama hizo tamthlia kinasahau hadi kupika kinaishia dundwa na boss wake
 
Kabisa kuna kidada cha kazi kimeolewa ila kinafanya kazi kwenye nyumba ya jirani kinaitwa mludego kikianza kutazama hizo tamthlia kinasahau hadi kupika kinaishia dundwa na boss wake
Huna punch unatoka nje ya mstari, hueleweki unaandika nini nimekupa ushauri wa bure mshirikishe mumeo kabla ya ku comment hapa
 
Huna punch unatoka nje ya mstari, hueleweki unaandika nini nimekupa ushauri wa bure mshirikishe mumeo kabla ya ku comment hapa
Kumbe ulikuwa unachana uwe kama zuchu we dada wa kazi. Fanya kazi upeleke chakula kwa mumeo acha kelele
 
Nikisema makuhani unaelewa? Azam wamejaza Channel nyingi za kikiristo
 
Vp umemwamini huyo mwamposa
 
Nilisha achana nao hao ma bwegee wafuga ndevu na wavaa kobasi hasa walipoleta upumbavu wa kutafsiri hayo ma series yao ya kifara,Mpaka wake zetu wamekua addicted hawahudumii familia pumb.vu sana hawa rubudani kwa yote
Mkuu[emoji23] unatutusi sisi wafuga ndevu ?

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
wewe uisilam ujui hayo maigizo hayahusiani na dini ya uisilamu chunguza utaona watu wengi wakitazama maigizo hayo kila siku tangu lini watu wakaipenda dini ya uisilamu kiasi hicho?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…