Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha wivu wewe!Azam ni timu kubwa ila wana mambo ya kishamba,hilo bus lao toka south wanafanya coverage ya kila siku kila chocho inayopitia ,Mara imefika mbeya,mara morogoro.
Timu kubwa na kampuni kubwa kununua basi utadhani wamechukua ubingwa
Azam ni timu kubwa ila wana mambo ya kishamba,hilo bus lao toka south wanafanya coverage ya kila siku kila chocho inayopitia ,Mara imefika mbeya,mara morogoro.
Timu kubwa na kampuni kubwa kununua basi utadhani wamechukua ubingwa
Pyramids wanakuja kuwatoa nishai mchana kweupeeeeeeAzam ni timu kubwa ila wana mambo ya kishamba,hilo bus lao toka south wanafanya coverage ya kila siku kila chocho inayopitia ,Mara imefika mbeya,mara morogoro.
Timu kubwa na kampuni kubwa kununua basi utadhani wamechukua ubingwa
Thd iishie hapa.It's all about Business
Ni haki yao! Huoni sisi simba tumeishia tu kupiga picha za viti vya ndani za TATA yetu?Azam ni timu kubwa ila wana mambo ya kishamba,hilo bus lao toka south wanafanya coverage ya kila siku kila chocho inayopitia ,Mara imefika mbeya,mara morogoro.
Timu kubwa na kampuni kubwa kununua basi utadhani wamechukua ubingwa
Nilichogundua ni kwamba una matatizo ya akili.Hayo mambo yalitakiwa yafanywe na gsm siyo Azam ,maana gsm tunawajua kutafuta kiki
Hivi ingekuwaje kama ndiyo Mudi angekukwa kawanunulia basi la aina hiyo!! Mjini pangekalika kweli?Nao wanaanza kuwa Kama utopwisya. Mbwembwe nyingi mipango ziro
unateseka ukiwa wapi?Naunga mkono hoja,kila mtu anajua bakhresa ana hela ya kununua hata ndege ya timu sasa ya nini kupoteza nguvu na basi moja,
Niko chamazi mkuu,wewe jeunateseka ukiwa wapi?