Azam nao washamba na hilo basi lao

Azam nao washamba na hilo basi lao

Dabil

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2021
Posts
6,823
Reaction score
15,293
Azam ni timu kubwa ila wana mambo ya kishamba,hilo bus lao toka south wanafanya coverage ya kila siku kila chocho inayopitia ,Mara imefika mbeya,mara morogoro.

Timu kubwa na kampuni kubwa kununua basi utadhani wamechukua ubingwa
 
Pyramids wanakuja kuwatoa nishai mchana kweupeeeeee
 
Naunga mkono hoja,kila mtu anajua bakhresa ana hela ya kununua hata ndege ya timu sasa ya nini kupoteza nguvu na basi moja,
 
Azam ni timu kubwa ila wana mambo ya kishamba,hilo bus lao toka south wanafanya coverage ya kila siku kila chocho inayopitia ,Mara imefika mbeya,mara morogoro.

Timu kubwa na kampuni kubwa kununua basi utadhani wamechukua ubingwa
Ni haki yao! Huoni sisi simba tumeishia tu kupiga picha za viti vya ndani za TATA yetu?

Maana tungepiga hata picha za nje ili kutambishia! au kuzunguka nalo mtaani, basi wakazi wa huku Malinyi, Mahenge na Ifakara wangetushanga na kutucheka sana!!
 
Hayo mambo yalitakiwa yafanywe na gsm siyo Azam ,maana gsm tunawajua kutafuta kiki
Nilichogundua ni kwamba una matatizo ya akili.

Tafadhali sana fika pale Muhimbili ukamuone daktari wa magonjwa hayo,Atakusaidia sana
 
Nao wanaanza kuwa Kama utopwisya. Mbwembwe nyingi mipango ziro
 
Back
Top Bottom