Azam Pesa: Huduma mpya ya kifedha

Mkisema Azam Pesa makato yatakuwa less than what is charged by competitors then it would make alot of sense by now!
 
sawaaaaaaaaa
 
Gharama za kutuma na kutoa pesa ni chini kulinganisha huduma nyinginezo za kifedha

Gharama za kutuma na kupokea zipo chini na nafuu kuliko huduma zingine

Nimekuwekea mchanganuo Wa gharama za makato kwenye mtandao Wa Tigo. Naomba uniwekee gharama za Azam pesa ili nilinganishe..
 
Inawezekana vp wewe unafanya biashara ya kuuza madawa, halafu anakuja mtu anakupatia dawa umuuzie zinazofanana na zako Tena kwa Bei ya chini...
Haiwezekani Azam awe na huduma ya fedha kwenye mtandao halafu akatumia mitandao mingine yenye biashara hyo hyo...
 
Jamaa kakataa kutaja gharama za kutuma, kutoa na makato.
 
Nashukuru leo kwa kupata Usajili wa AZAM PESA....bado code number tuuu
 
Hi inauza umeme na kulipia bills za maji?
Inatoa risiti Kama ilivyo kwa maxmalipo?
 
Nasikia wanaanza kazi tarehe moja January.
 
Naomba majibu haya kwa watu wa azampesa
1.tunaomba schedule ya makato???
2.je inawezekana kuhamisha pesa kwenda mtandao mwingine mfano tigo pesa au airtel money???
3. Je unaweza kuhamisha pesa kutoka azampesa kwenda bank gharama n shs ngapi???
4. Je mna lipa kwa azampesa???
5.je kwenye azampesa kuna tozo???
6. Je kiwango cha kuweka na kutoa mwisho n shs ngap????
 
Kinachoweza kuwabeba hapa ni makato tuu hakuna kingine [emoji16]
 
Haaaaaa......kweli tigo ndo habari ya mjini.[emoji2960]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…