Azam Sports Federation cup: Simba Vs Coastal Union | Benjamin Mkapa Stadium

Azam Sports Federation cup: Simba Vs Coastal Union | Benjamin Mkapa Stadium

Kipindi cha pili kimeanza
 
Coastal wana defense
 
Hali ikoje huko? Nasikia kila mpenda soka la mnyama anadai kwa sawakubwa tumepigwa kitu kizito
 
Sadio Kanoute naskia kapiga shuti kimo cha nyoka
 
Kusema wamechoka? Mbona wamekaa muda mrefu bila mechi?
Hata huyo Chama waliyekuwa wanamlilia mashabiki mandazi leo naye hamna kitu anachofanya uwanjani.

Sakho hakutakiwa kutoka. Ni mmoja wa wachezaji ambao kidogo alikuwa afadhali.
 
Hata huyo Chama waliyekuwa wanamlilia mashabiki mandazi leo naye hamna kitu anachofanya uwanjani
Chama muhimu Dana hasta kama Hana fitness nzuri

Kibu naye kipenzi Cha Wana naona kaingia kuchukua nafasi ya Sakho
 
Chama muhimu Dana hasta kama Hana fitness nzuri

Kibu naye kipenzi Cha Wana naona kaingia kuchukua nafasi ya Sakho
Sakho hakutakiwa kutoka. Ni mmoja wa wachezaji ambao kidogo alikuwa afadhali.
 
Cjafahamu combinations ya Baleke na Phiri kama wanaweza kucheza pamoja au la
 
Back
Top Bottom