Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
- Thread starter
- #81
Tunataka tuzione mbinu za kocha na Chama akiwemo, sio unamtoa Chama unamuweka KibuAcheni mzungu atengeneze timu! Haya mazoea kimbinu nilizoona leo hutoboi kwa akina Raja. Kama Chama asipobadilika game ngumu za kimataifa atakuwa liability. Tusipomjaza ujinga yule Mbrazil atambadili acheze kwa speed zaidi.
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app