Azam tunawapongeza kwa ushindi, GSM awezi kulaumiwa leo kuwa anaharibu ligi kwa kuwa yanga kapoteza, basi tuishi humo!

Makavuli

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2024
Posts
1,425
Reaction score
1,829
Ni vizuri tukawapa hongera zao Azam fc kwa ushindi wao Leo hii dhidi ya yanga ndio Mpira akuna timu inaweza kumaliza ligi nzima yenye ushindani bila kufungwa ama kuruhusu goli ni ngumu!

Lakini pia tunapenda kutoa angalizo kwa wale wote walioujulia Mpira ukubwani kwamba timu yako inapopoteza ama kufungwa inatakiwa kukubali ubora wa mwenzako pia!

Leo hii yanga kafungwa na mchezaji wao kapewa kadi nyekundu lakini uwezi kusikia yale maneno ya kwamba gsm anaharibu ligi, bali wale wote wameufyata na wamefurahi yanga kupoteza!

Kwa maana iyo iyo tuendelee kukubaliana na matokeo yoyote kwa timu yoyote kwamba Mpira una matokeo 3,
Basi kazi iendelee na timu Bora itajulikana mwisho wa msimu!
 
GSM anaharibu ligi. Azam wamenyimwa penati ya wazi kabisa kwa kuwa refa alipewa bahasha
 
Wewe ni mbumbumbu asiejitambua, Mo aliwapa bahasha ya shingapi waamuzi waliowapa penalty dodoma na magoli ya offside dhidi ya Azam?
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio SC (Visababu)
JamiiForums-312072181.jpeg
 
Tulichoshuhudia leo ni pengo la Kayoko. Yanga hii bila mbeleko ni sawa na Ihefu tu.
 
Kwa hizi hasira, haupaswi kuhojiwa LIVE na mwandishi maana utarusha ngumi kama Gamondi
Unaulizwa vizuri tu ile penalty ya Dodoma Jiji mliyozawadiwa na magoli ya offside kule Zanzibar dhidi ya Azam Mo alitoa bahasha ya shingapi? Mtu wa kwanza kuaribu ligi kumbe ni Mo!
 
Ni vizuri tukawapa hongera zao Azam fc kwa ushindi wao Leo hii dhidi ya yanga ndio Mpira akuna timu inaweza kumaliza ligi nzima yenye ushindani bila kufungwa ama kuruhusu goli ni ngumu!
Lakini pia tunapenda kutoa angalizo kwa wale wote walioujulia Mpira ukubwani kwamba timu yako inapopoteza ama kufungwa inatakiwa kukubali ubora wa mwenzako pia!
Leo hii yanga kafungwa na mchezaji wao kapewa kadi nyekundu lakini uwezi kusikia yale maneno ya kwamba gsm anaharibu ligi, bali wale wote wameufyata na wamefurahi yanga kupoteza!
Kwa maana iyo iyo tuendelee kukubaliana na matokeo yoyote kwa timu yoyote kwamba Mpira una matokeo 3,
Basi kazi iendelee na timu Bora itajulikana mwisho wa msimu!
Azam huwezi kumhonga hana njaa. Kwani kipigo bado kinakuuma mkuu?

Hata hivyo pole sana kikubwa ni kuwa mvumilivu tu muda utakuponya.
 
Ni vizuri tukawapa hongera zao Azam fc kwa ushindi wao Leo hii dhidi ya yanga ndio Mpira akuna timu inaweza kumaliza ligi nzima yenye ushindani bila kufungwa ama kuruhusu goli ni ngumu!
Lakini pia tunapenda kutoa angalizo kwa wale wote walioujulia Mpira ukubwani kwamba timu yako inapopoteza ama kufungwa inatakiwa kukubali ubora wa mwenzako pia!
Leo hii yanga kafungwa na mchezaji wao kapewa kadi nyekundu lakini uwezi kusikia yale maneno ya kwamba gsm anaharibu ligi, bali wale wote wameufyata na wamefurahi yanga kupoteza!
Kwa maana iyo iyo tuendelee kukubaliana na matokeo yoyote kwa timu yoyote kwamba Mpira una matokeo 3,
Basi kazi iendelee na timu Bora itajulikana mwisho wa msimu!
Shida washabiki wa simba wamewekeza sana kwenye propaganda badala ya kujenga timu yao.wao wanaiona yanga ni threat kwao hivyo wanawaaminisha watu kuwa yanga inabebwa.washabiki wa simba nchi nzima wameshangilia kufungwa kwa yanga na mchezaji wetu kulimwa kadi lina huwezi kukuta mashabiki wetu wanalalamika.simba angefanyiwa hivyo mpaka wazee wao wangeitisha press conference.wanayanga tusikatishwe tamaa na hao wakuda.kosa moja kwetu ni somo,tunasahihisha na tunasonga mbele.kadi nyekundu kwa bacca ni somo kwake,kwetu na hapaswi kulaumiwa bali katika moyo.
 
Akuna anayekatishwa tamaa na hao wavimba macho tunajua wamepata kichaka cha kujifichia kwa muda na iyo aiondoi ukweli kwamba hapa Tanzania akuna timu inayoifikia yanga kiubora watake wasitake, wapende wasipende, kupoteza mechi dhidi ya Azam ni Moja ya matokeo kilichotokea wote tumeona na isingekuwa baka kutolewa Azam walikuwa wanapigika vizuri tu kwa namna mwelekeo wa mechi ulivyokuwa, yote kwa yote ayo yamepita tunajipanga kwa mechi ijayo dhidi ya tabora united!
 
Ni vizuri tukawapa hongera zao Azam fc kwa ushindi wao Leo hii dhidi ya yanga ndio Mpira akuna timu inaweza kumaliza ligi nzima yenye ushindani bila kufungwa ama kuruhusu goli ni ngumu!
Lakini pia tunapenda kutoa angalizo kwa wale wote walioujulia Mpira ukubwani kwamba timu yako inapopoteza ama kufungwa inatakiwa kukubali ubora wa mwenzako pia!
Leo hii yanga kafungwa na mchezaji wao kapewa kadi nyekundu lakini uwezi kusikia yale maneno ya kwamba gsm anaharibu ligi, bali wale wote wameufyata na wamefurahi yanga kupoteza!
Kwa maana iyo iyo tuendelee kukubaliana na matokeo yoyote kwa timu yoyote kwamba Mpira una matokeo 3,
Basi kazi iendelee na timu Bora itajulikana mwisho wa msimu!
KWANI NA AZAM TUNAWA DHAMINI SISI?
 
Wewe ni mbumbumbu asiejitambua, Mo aliwapa bahasha ya shingapi waamuzi waliowapa penalty dodoma na magoli ya offside dhidi ya Azam?
Mwanayanga mwenzangu usioneshe hasira hivi. Tulia tu.yatapita. TFF ndo tatizo letu
 
Back
Top Bottom