AZAM TUNAWAPONGEZA KWA USHINDI, GSM AWEZI KULAUMIWA LEO KUWA ANAHARIBU LIGI KWA KUWA YANGA KAPOTEZA, BASI TUISHI HUMO!

AZAM TUNAWAPONGEZA KWA USHINDI, GSM AWEZI KULAUMIWA LEO KUWA ANAHARIBU LIGI KWA KUWA YANGA KAPOTEZA, BASI TUISHI HUMO!

Makavuli

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2024
Posts
1,425
Reaction score
1,829
Ni vizuri tukawapa hongera zao Azam fc kwa ushindi wao Leo hii dhidi ya yanga ndio Mpira akuna timu inaweza kumaliza ligi nzima yenye ushindani bila kufungwa ama kuruhusu goli ni ngumu!
Lakini pia tunapenda kutoa angalizo kwa wale wote walioujulia Mpira ukubwani kwamba timu yako inapopoteza ama kufungwa inatakiwa kukubali ubora wa mwenzako pia!
Leo hii yanga kafungwa na mchezaji wao kapewa kadi nyekundu lakini uwezi kusikia yale maneno ya kwamba gsm anaharibu ligi, bali wale wote wameufyata na wamefurahi yanga kupoteza!
Kwa maana iyo iyo tuendelee kukubaliana na matokeo yoyote kwa timu yoyote kwamba Mpira una matokeo 3,
Basi kazi iendelee na timu Bora itajulikana mwisho wa msimu!
 
Back
Top Bottom